Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Ebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.View attachment 2969431
Hana umuhimu huo anaojipa, hata wakimuua hakuna atakayeshtuka
Atakufa kama wengine

Kafa mwendazake na maisha yanaendelea tu
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Ebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.View attachment 2969431
Wewe nenda kaandike habari za Nchimbi na Makalla, hali zao kisiasa ni tete
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Ebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.View attachment 2969431
Vita ya kiuchumi noma sana. Biashara ya sembe ni vita ya kiuchumi.
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Ebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.View attachment 2969431
Wewe ni muuza madawa???.

Makonda anawindwa na wabaya wake

Acha Upumbavu na unafiki wakujifanya Hujui Hilo.
 
Inawezekana labda ni kweli anawindwa si unaona hata wewe unamfatilia sana na hajagusa maslahi yako je kwa aliogusa maslahi yao we unafikiri hawana kisasi nae?
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Ebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.View attachment 2969431
Endapo kama anawindwa na wale watu aliowafanyia ubaya siku za nyuma Mimi binafsi sioni tatizo juu ya suala hili, kwa sababu anapaswa kuvuna kile alichopanda.
Aidha, akumbuke kwamba 'Action and reaction are equal, but opposite in directions.'
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Ebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.View attachment 2969431
Nani amuue Ili iweje huyo ni wakuvishwa vijora na shanga kiunoni, ushamba wa koromije haujamtoka mpaka Leo anaamini ukuda na fitina ni ngazi yake ya kujipatia mkate wa kila siku
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Hebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.

View attachment 2969431
huyu ni aina ya kiongozi ambaye hatakiwi kabisa kuongoza hata mtaa tu. ni aibu kwa taifa.
 
Eti kuna watu walitaka kumuua mara kadhaa na anaendelea kuwindwa?

Sidhani kama kuna mtu alikuwa na haja ya kumuua huyu kaka labda kama anatafuta kiki tu.

Watake kumuua huyu mtu hustle kwa umuhimu gani kwenye jamii?

Hebu msikilizeni wenyewe alafu tumjadili wana jukwaa.

View attachment 2969431
Makonda Paulo Albert Bashite ni tapeli tu kama wengine waliopitia uvccm.
Kama Mpina anahofu namba moja aliwahishwa akhera, yeye Bashite ni nani hadi ishindikane?
Ogopeni ma-populist kama kina Bashite!

NB: Anakoelekea atawataja kwa majina wote aliowadhulumu haki ya kuishi!
 
Back
Top Bottom