So far Makonda 1...... Makala+Katibu 0.
Jaman, Uongozi mnaweza wote kua Viongozi, ila kuna mmoja ana kua na hali ya kukubalika, kuaminika, kusikilizwa yaan anakua na MAMLAKA .
TUKUBALI, TUKUBALI, TUKUBALI TU KUA MAKONDA, NI MWANASIASA NAMBA MOJA MWENYE MVUTO NCHINI TANZANIA .
Mf..Mtazameni LUAGA MPINA..Mpina ni mzuri sana, ana akili na Hoja, kwakweli katika wanasiasa wanaotumia vema Akili na Elimu zao namba Moja ni LUAGA MPINA.
Lkn nawaambieni, MPINA na MAKONDA... kwenye Kaput la uchaguzi, Makonda anaibuka mshindi mapema.
Maana yake nini??. MPINA anafaa kua Kiongozi mwandamizi mtendaji ( WAZIRI MKUU).
Na Makonda anafaa kua RAIS .