Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wewe unaishi kwa kulipwa na Makonda baada ya kuandika post za kumsifia. Endelea tu
Hapana silipwi kabisa na hatujuani kabisa na Makonda. Ila kwenye ukweli tuuseme. Ninyi chuki yenu juu ya Dkt Magufuli ni kubwa sana kiasi kwamba mpo kinyume na matakwa ya watanzania walio wengi. Na hili siyo tatizo lako peke yako, hata akina Majaliwa na Dkt Samia walifikiri the same siku ya msiba ila badaye wakaona jinsi watu walivyojitoa kuja kuaga mwili hakika walishangaa sana kuona kumbe alikuwa anapendwa. Kwa hiyo usilazimishe kuamini kile ambacho unaona wewe sahihi mtu mwingine aamini. Mfano mi Mzee Lowasa aliwashawahi umiza watu wakafukuzwa kazi kwa sababu ya kugomea rushwa ila siwezi sema alikuwa hapendwi alipendwa na watu wake. Au hata Mh. Mbowe, siwezi seme eti ni kichaa hapana, anazo hoja tena zenye mashiko hata sisi wana CCM huwa tunasema hapa kapiga penyewe ila siwezi muita kichaa. So behave you idiot na ufahamu kila mtu anastahili heshima and siyo kwa sababu una anonymous name basi you can say anything kwa viongozi wetu
 
Mimi naona wote wanatumikia chama cha mapinduzi lengo ni moja ila kila mmoja ana tabia yake!
 
Kwenye kusombwa umedanganya,huku kwetu kipindi cha Makonda tulikua na mkesha,msosi na vinywaji vya kushanta,malori yalitubeba km kawa,kiufupi ni utaratibu wa CCM kusomba watu
 
Dah. Hatari ..

Basi turudi kwa Makala.
 
Kwenye kusombwa umedanganya,huku kwetu kipindi cha Makonda tulikua na mkesha,msosi na vinywaji vya kushanta,malori yalitubeba km kawa,kiufupi ni utaratibu wa CCM kusomba watu
Makonda hata akienda kijijini kwenu Sasa hivi mtakuja tu. Hilo lisikupe shida.
 
Imeandikwa hadi basi. Atakuwa ameelewa.
 
Kuna kukubalika na kushangawa na jumuia.
Sio kila atakayekuja kukusikiliza anakukubali wengine wanakushangaa tuu kwani unaweza kuwa tofauti sana na wengine kwa akili/ujinga wako.
Pia katika kukubalika ni vyema kutambua anakubalika na watu wa aina gani na kwa nini.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
mbow inasemekana si haba kabisa na lisu kaolewa, je unasemaje?
Hao unaowatukana ni viongozi wa juu wa chama cha siasa, angalia watu wasije kujibu kwa viongozi wa juu wa chama chako matusi ya aina hiyo ukaiponza JF.
Please futa post yako.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wauza dawa za kulevya,mbona mnavichwa vigumu sana kuelewa?,maelezo yake yanajitosholeza wewe jinga sana
 
cde CPA Makala anafaa kuuza mabumunda au wanzuki tu
Hapana Yule alikuwa anagawa pesa Kwa wasanii majukwaani zamani wakawa wanamuimba papaa Amos makala..hizo ndio kazi anaweza. Wampe kitengo cha TOT uone atavyowafanyia kazi..hizi kazi za kutumia akili kubwa sio zake.
 
Unapoint usikilizwe.

Ila ujue watu wakikuamini, wanakuja na kukwambia kero zao, nawe uweze kizitatua.

Mfano ni Makonda pale Kigoma, mtoto yule Sasa Yuko shule na mama yake ananyumba.
 
Hapana Yule alikuwa anagawa pesa Kwa wasanii majukwaani zamani wakawa wanamuimba papaa Amos makala..hizo ndio kazi anaweza. Wampe kitengo cha TOT uone atavyowafanyia kazi..hizi kazi za kutumia akili kubwa sio zake.
Hahahahah
 
Na. 4 inatafakarisha sana!! Pengine Nchimbi na Makalla siyo wa mama ni wa jk
 
Usimlinganishe mtu mweledi aliyekwenda shule dhidi ya Zerobrain.

Hiyo TAKATAKA iache Arusha tu ndiyo mlango wake wa kutokea
Siasa za Tanzania hazitaki 'UELEDI''. Zinataka amshaamsha na mtu ajitoe ufahamu.
Ndio njia tulioamua kuchagua.
 
Kwenye kusombwa umedanganya,huku kwetu kipindi cha Makonda tulikua na mkesha,msosi na vinywaji vya kushanta,malori yalitubeba km kawa,kiufupi ni utaratibu wa CCM kusomba watu
Kuna baadhi ya maeneo watu ni masikini mno na hawajasenda shule. Sisi huku kwetu tulienda wenyewe na magari yetu!! Fanyeni kazi kwa bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…