Uko sahihiMakonda ana Ile hali ya, Ukimpa cheo chochote, ataonyesha waliopita hawajafanya kazi.
Sasa yeye akitoka, watakaomfatia, watakua wanalinganishwa naye, na hii inahitaj anayekuja anachukua Viatu vyake, afanye kazi kwa.kupita kule mule alikopita Mh Makonda.
Kwa.ufupi, Makonda ni Magufuli Mtupu.
Mwamba Anaendelea kuchapa kazi na kuleta matumaini kwa wana Arusha ,ambao wanaendelea kumuunga mkono kwa kila hatua anayopiga.Huyu inabidi apumzike kwa amani, ili asituchoshe.
Vipi kwa upande wako Lucas Mwashambwa ? Utaendelea na ukunguni huu mpk lini? Umri unaenda...!Mwamba Anaendelea kuchapa kazi na kuleta matumaini kwa wana Arusha ,ambao wanaendelea kumuunga mkono kwa kila hatua anayopiga.
Jamaa hana shida na mtu, ukimpa kazi basi jua atakufanyia hiyo kazi vzr kabisaNdugu zangu Watanzania,
Leo kule kanda ya kaskazini mkoani Arusha Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara aliwakutanisha watumishi na watendaji wote wa mkoa wa Arusha katika kikao maalum cha kutoa Dira na taswira ya namna ambavyo angetaka mkoa wa Arusha uwe,pamoja na kumtaka kila mtumishi na mtendaji wa serikali kutekeleza wajibu wake kikamilifu.
Amesema yeye ni yule wa jana,leo na hata milele na kwamba hakuna copy ya Makonda kwa maana kwamba makonda uliyemuona jana ndio yule wa leo na wa kesho na hata akiondoka atabakia kuwa na kusomeka hivyo. Amewataka watumishi wa umma kuchapa kazi kwelikweli bila kulega lega wala kutengenezeana ajali za kazini.amesema ni lazima kushirikiana kwa pamoja na siyo kuchongeana au kukwamishana.
Amesema ya kuwa yeye hana muda wa kumvumilia mtu kazini bali anataka mtu aliye kamilika na tayari kwa kazi.amesema yeye hanaga habari za kusema ngoja tumvumilie mtu kwa matarajio kuwa atabadilika baadaye .amesema yeye hana huo muda na wala hajajaliwa kipawa hicho.amesema kuwa yeye mwenyewe utendaji wake unapimwa kwa siku.amewaomba msamaha mapema kabisa watumishi na watendaji wazembe kuwa hatawavumilia hata kidogo na badala yake wabadilike haraka sana.
Amesema kuwa ni lazima kila mtu ahakikishe kuwa anaenea vyema katika nafasi yake na yule ambaye haenei vizuri atafute vitu vya kumsaidia kuenea ,na asipofanya hivyo atamlazimisha aenee vizuri.amesema amechelewa sana na hivyo hayupo tayari kuona akikwamishwa na mtu yeyote yule.
Mwamba Makonda amezungumza mengi sana tena sana katika siku ya leo katika kutoa Dira na muelekeo wake ikiwa ni pamoja na kuhimiza umoja na mshikamano katika kufanya kazi ,na siyo kufanya kazi utafikiri unakimbiza mwenge.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mimi ni msema kweli na siyo kunguni.Vipi kwa upande wako Lucas Mwashambwa ? Utaendelea na ukunguni huu mpk lini? Umri unaenda...!
mbona Jana alikuwa naitwa Bashite wewe kichaa Lucas??Ndugu zangu Watanzania,
Leo kule kanda ya kaskazini mkoani Arusha Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara aliwakutanisha watumishi na watendaji wote wa mkoa wa Arusha katika kikao maalum cha kutoa Dira na taswira ya namna ambavyo angetaka mkoa wa Arusha uwe,pamoja na kumtaka kila mtumishi na mtendaji wa serikali kutekeleza wajibu wake kikamilifu.
Amesema yeye ni yule wa jana,leo na hata milele na kwamba hakuna copy ya Makonda kwa maana kwamba makonda uliyemuona jana ndio yule wa leo na wa kesho na hata akiondoka atabakia kuwa na kusomeka hivyo. Amewataka watumishi wa umma kuchapa kazi kwelikweli bila kulega lega wala kutengenezeana ajali za kazini.amesema ni lazima kushirikiana kwa pamoja na siyo kuchongeana au kukwamishana.
Amesema ya kuwa yeye hana muda wa kumvumilia mtu kazini bali anataka mtu aliye kamilika na tayari kwa kazi.amesema yeye hanaga habari za kusema ngoja tumvumilie mtu kwa matarajio kuwa atabadilika baadaye .amesema yeye hana huo muda na wala hajajaliwa kipawa hicho.amesema kuwa yeye mwenyewe utendaji wake unapimwa kwa siku.amewaomba msamaha mapema kabisa watumishi na watendaji wazembe kuwa hatawavumilia hata kidogo na badala yake wabadilike haraka sana.
Amesema kuwa ni lazima kila mtu ahakikishe kuwa anaenea vyema katika nafasi yake na yule ambaye haenei vizuri atafute vitu vya kumsaidia kuenea ,na asipofanya hivyo atamlazimisha aenee vizuri.amesema amechelewa sana na hivyo hayupo tayari kuona akikwamishwa na mtu yeyote yule.
Mwamba Makonda amezungumza mengi sana tena sana katika siku ya leo katika kutoa Dira na muelekeo wake ikiwa ni pamoja na kuhimiza umoja na mshikamano katika kufanya kazi ,na siyo kufanya kazi utafikiri unakimbiza mwenge.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Ushauri kwako. Anza kunimwagia sifa mm, kwasabb 2035 nitakuwa rais wa nchi hii na nitakuteua kuwa msemaji wa serikaliMimi ni msema kweli na siyo kunguni.
Mwamba Makonda naona anakutesa sana dogo.mbona Jana alikuwa naitwa Bashite wewe kichaa Lucas??
View: https://youtu.be/IHesMHVCjz4?si=nLL-eaMpqI1slcAn
Nenda tu kabla hujakwenda kupotea maana jiji la Arusha chini ya Mwamba Makonda linakwenda kuwa kama Washington DC Marekani au DUBAI au Paris ufaransa au Newyork Marekani au London Uingereza.I miss Arusha kwa kweli
Miaka saba sijafika tena
I hope this year I will be there
Nakutakia kazi njema makonda najua we ni mchapa kazi
Mkuu wa mkoa ni Rais wa Mkoa Mzima.Wanabodi hebu tupeni job description ya mkuu wa mkoa,
😃😃😃Unapata sifa kutokana na uchapa kazi wako na siyo kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.Ushauri kwako. Anza kunimwagia sifa mm, kwasabb 2035 nitakuwa rais wa nchi hii na nitakuteua kuwa msemaji wa serikali
Ndugu zangu Watanzania,
Leo kule kanda ya kaskazini mkoani Arusha Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara aliwakutanisha watumishi na watendaji wote wa mkoa wa Arusha katika kikao maalum cha kutoa Dira na taswira ya namna ambavyo angetaka mkoa wa Arusha uwe,pamoja na kumtaka kila mtumishi na mtendaji wa serikali kutekeleza wajibu wake kikamilifu.
Amesema yeye ni yule wa jana,leo na hata milele na kwamba hakuna copy ya Makonda kwa maana kwamba makonda uliyemuona jana ndio yule wa leo na wa kesho na hata akiondoka atabakia kuwa na kusomeka hivyo. Amewataka watumishi wa umma kuchapa kazi kwelikweli bila kulega lega wala kutengenezeana ajali za kazini.amesema ni lazima kushirikiana kwa pamoja na siyo kuchongeana au kukwamishana.
Amesema ya kuwa yeye hana muda wa kumvumilia mtu kazini bali anataka mtu aliye kamilika na tayari kwa kazi.amesema yeye hanaga habari za kusema ngoja tumvumilie mtu kwa matarajio kuwa atabadilika baadaye .amesema yeye hana huo muda na wala hajajaliwa kipawa hicho.amesema kuwa yeye mwenyewe utendaji wake unapimwa kwa siku.amewaomba msamaha mapema kabisa watumishi na watendaji wazembe kuwa hatawavumilia hata kidogo na badala yake wabadilike haraka sana.
Amesema kuwa ni lazima kila mtu ahakikishe kuwa anaenea vyema katika nafasi yake na yule ambaye haenei vizuri atafute vitu vya kumsaidia kuenea ,na asipofanya hivyo atamlazimisha aenee vizuri.amesema amechelewa sana na hivyo hayupo tayari kuona akikwamishwa na mtu yeyote yule.
Mwamba Makonda amezungumza mengi sana tena sana katika siku ya leo katika kutoa Dira na muelekeo wake ikiwa ni pamoja na kuhimiza umoja na mshikamano katika kufanya kazi ,na siyo kufanya kazi utafikiri unakimbiza mwenge.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa mbumbumbu zaidi hapa Tanzania kwa sasa.Wanabodi hebu tupeni job description ya mkuu wa mkoa,
Yupo Kamsamba Ndiyo Anamwaga Maandiko Kuna Jamaa Kasoma Naye Anamjua Vema Ngoja Aje Uone Kama Lucas Ata~Comment Chochote Hapa Maana Alisema Suu....Lucas kwenye moja na mbili..!🤸
Wewe ndiye mbumbumbu unayeandika hisia zako badala ya hoja zenye mashiko.Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa mbumbumbu zaidi hapa Tanzania kwa sasa.
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema kwamba "Debe tupu haliachi kuvuma."