Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Chadema huwa hachagui silaha wao ni zoa zoa kipindi hiki!
 
Makonda yupo vizuri
Tulipofikia Watanzania tunahitaji kiongozi mbabe ili kuwanyoosha hao wavivu na wezi wa mali za umma

Makonda aongezewe cheo..!
Nimefuatilia toka akiw mwenez.ile style yake ya ki mamadou doumbaye .waswas wang tusije kukosa missaaad ya nchi wahisan
 
Kuna kitu inaitwa charismatic. Ukiwa na kismat cha kuongoza hata ukiwa sehem watu wanakuogopa
 
Kuna kitu inaitwa charismatic. Ukiwa na kismat cha kuongoza hata ukiwa sehem watu wanakuogopa
Huyu Bashite wanamugopa kwa sababu ya kuteka na kuua. Hana kitu chochote anachojuwa kichwani
 
Makonda pia.. Pre arranged.....
 
Huwezi kuwa komandoo kama hujapita kwenye misukosuko mingi ya kivita Tunaomba wakati makonda akihojiwa waandishi wa habari wawepo
 
Makonda tangu ajulikane 2010's kazi zake ni za kisiasa, matukio yake yote yako wazi kuanzia lile tukio la kumpiga Mjikofi Mzee Warioba mpaka leo yako wazi. Mengi yako mtandaoni, YouTube, Facebook, Instagram, x n.k

Pamoja na hayo yote kuna mtu alimteua pamoja na kuwekwa kando na Rais Magufuli.

Hapo makonda munamsumbua kafanya kosa gani jipya ambalo hajawahi kufanya?
 
Zawadi pekee msema ukweli atapewa mbele ya wazushi ni majungu.
Huyu jamaa kama unanuka mdomo atakwambia,na hili ndio tatizo lake ambalo watu hawalipendi.
 
Ikiwa Makonda ni mhalifu ama aliwahi kuwa mhalifu na hajawahi kuchukuliwa hatua zozote ila anateuliwa tu kuwa kiongozi, basi huyo bosi wake anayemteua ndiye mhalifu mkuu.

Acheni kumsumbua kijana πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ulichokifanya ni kwenda kwenye shimo la familia ya nyoka na kumimina mafuta ya taa Lita 5
 
Makonda yupo vizuri
Tulipofikia Watanzania tunahitaji kiongozi mbabe ili kuwanyoosha hao wavivu na wezi wa mali za umma

Makonda aongezewe cheo..!
Anatakiwa Dikiteta Mzalendo Muadilifu kwa kazi hizo !! πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…