kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Chadema huwa hachagui silaha wao ni zoa zoa kipindi hiki!Najaribu kuwaza...🤔
Tumeona MAKONDA akitoa kauli mbalimbali AMBAZO kimsingi si rafiki Kwa baadhi viongozi wa CHAMA na zinatishia uwepo wa viongozi hao ndani CCM.
Nina Imani Kuna kitu nyuma ya hizi vurugu za MAKONDA kuelekea UCHAGUZI mkuu 2025 mpaka sasa Kwa kiasi kikubwa jamaa anawatu na kaaminika katika jamii kama mtetezi na msemaji wa watu.
SASA BASI, WHAT IF?!
kabla ya 2025 MAKONDA akawajibishwa na CHAMA Kwa kigezo Cha "maadili" na akaamua kujiunga na upinzani mathalani ACT na kugombea Urais Nini kitatokea??!!
Je, kabla ya kujiunga na ACT akiwa bado Yuko huru na akaendeleza harakati zake kama mtu huru JE CHADEMA itakua tayari kumpokea??!!
Mwisho..
what if anatengenezwa Kwa ajili ya hayo hapo kuelekea 2025 apatikane mtu WA kichachafya CCM kidogo mwaka 2025..... Na baadae MAMA aseme "we ni mwanangu Rudi nyumbani"
juma tatu njema.