Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mwezi Novemba mwaka 2014 Paul Makonda aliongoza kikundi cha kuvuruga mkutano wa Katiba wa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Katiba pale Ubungo Plaza. Alimkunja na kumburuza kama mhalifu. Hatukusikia kutoka kwa JK kama Mwenyekiti wa CCM wala Samuel Sitta kama Spika wa Bunge kujutia vitendo vya Bashite. Ni wazi alitumwa na mmoja wao.

Bashite aliishia kupata u DC wa Kinondoni kama shukrani kwa kufanya ufedhuli huo kisha u RC wa Dar wakati wa Magufuli. Naye Samia kampa u-Katibu Mwenezi na sasa ni RC Arusha.

Pamoja na yote haya Bashite ameonekana anakivuruga na kukigawa chama kutokana na tabia yake na kauli zake.

Hii laana itaendelea kuwatafuna milele kama CCM hawatamuomba radhi Mzee Joseph Sinde Warioba kwa uhuni waliomfanyia mwaka 2014.

 
Sijawahi kuelewa kwanini Makonda huwa anahusishwa na nafasi za juu kabisa za uongozi ikiwemo nafasi ya Rais.

Hivi kumbe nafasi ya Rais ni nyepesi kiasi cha hadi mtu kama Makonda kuishika? Wanaomuwazia hayo huwa mnaangalia nini kwake?
Kwann sijamuhusisha na CCM unadhani??
 
WaTanzania hawataki mabadiliko wanapenda mazowea ya kufanya vilevile miaka nenda miaka rudi ... ukitaka kuwatoa huko wanakuwa wakali na wahafidhina sana ...
 
Hivi kweli alishamuomba msamaha Mzee Waziri Mkuu mstahafu Warioba kwa udhalilishaji alio mfanyia?
 

Yaani Bashite apewe kazi maalumu kama hiyo ....!!?

Anyway, kwa CDM haiwezekani hata kidogo hata kwa kufikiria tu ..... sidhani hata kama wanaweza kumkaribisha kama Member wa kawaida tu ....!!
 
upinzani Lissu anatosha toa hiyo takataka
 
Makonda anataka yeye ndiye awe chawa mkuu wa Rais Samia, anamlazimisha Rais amsikilize yeye sana kwamba yeye ndiye msema kweli, Mimi kwenye serikali yangu sitahitaji machawa wala watu wakujipendekeza kwangu” Hashim Rungwe

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…