Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Ndugu Makonda hana tatizo na mtu na hana hizo dhambi unazosema dhambi. Ni uzushi na uongo na aliyetunga huo uongo hana tofauti na aliyemtungia uongo Mh. Mbowe kuwa ni gaidi na muuza madawa ya kulevya na anaua kila anayetaka kiti chake au yule aliyemtungia Dkt Salim Ahmed Salim kuwa ni mhzibu mwarabu hafai kuwa rais etc. Jiepushe na ujinga utafi lvawewaNimekuwa najiuliza wakati BASHITE yupo NJE ya Uongozi Alikuwa haonekani kuwatembelea VIONGOZI wa DINI na kuwataka WAMWOOMBEE na kumbariki.Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao
1.Kardinal Mstaafu
Pengo
2.Sheikh Mkuu Zuberi
3.Askofu mkuu wa Anglican n.k.Na baada ya kuteuliwa tena kuwa MKUU wa MKOA amefanya hivyo hivyo.
Najiuliza ametenda DHAMBI GANI KUBWA inayomtesa na kumfanya Ahangaike hivi kutaka KUOMBEWA?
Mbona alipokuwa Nje ya UONGOZI hatukumwona kuwatafuta hawa VIONGOZI wa DINI?
Ushauri kwa BASHITE
Kama anautafuta WOKOVU basi Awaombe Msamaha KWANZA wale wote aliowatendea MABAYA ktk MAISHA yake na WAKILI kuwa Wamsamehe ndio Aende kwa Hao Viongozi wa Dini bila kufanya hivyo SALA na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea KICHWANI ni kazi Bure