Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Nimekuwa najiuliza wakati BASHITE yupo NJE ya Uongozi Alikuwa haonekani kuwatembelea VIONGOZI wa DINI na kuwataka WAMWOOMBEE na kumbariki.Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao
1.Kardinal Mstaafu
Pengo
2.Sheikh Mkuu Zuberi
3.Askofu mkuu wa Anglican n.k.Na baada ya kuteuliwa tena kuwa MKUU wa MKOA amefanya hivyo hivyo.
Najiuliza ametenda DHAMBI GANI KUBWA inayomtesa na kumfanya Ahangaike hivi kutaka KUOMBEWA?
Mbona alipokuwa Nje ya UONGOZI hatukumwona kuwatafuta hawa VIONGOZI wa DINI?
Ushauri kwa BASHITE
Kama anautafuta WOKOVU basi Awaombe Msamaha KWANZA wale wote aliowatendea MABAYA ktk MAISHA yake na WAKILI kuwa Wamsamehe ndio Aende kwa Hao Viongozi wa Dini bila kufanya hivyo SALA na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea KICHWANI ni kazi Bure
Ndugu Makonda hana tatizo na mtu na hana hizo dhambi unazosema dhambi. Ni uzushi na uongo na aliyetunga huo uongo hana tofauti na aliyemtungia uongo Mh. Mbowe kuwa ni gaidi na muuza madawa ya kulevya na anaua kila anayetaka kiti chake au yule aliyemtungia Dkt Salim Ahmed Salim kuwa ni mhzibu mwarabu hafai kuwa rais etc. Jiepushe na ujinga utafi lvawewa
 
Bashite mwenyewee Kwan anasemaje kuhusu hiliii
IMG-20240422-WA0008.jpg
 
Ndugu Makonda hana tatizo na mtu na hana hizo dhambi unazosema dhambi. Ni uzushi na uongo na aliyetunga huo uongo hana tofauti na aliyemtungia uongo Mh. Mbowe kuwa ni gaidi na muuza madawa ya kulevya na anaua kila anayetaka kiti chake au yule aliyemtungia Dkt Salim Ahmed Salim kuwa ni mhzibu mwarabu hafai kuwa rais etc. Jiepushe na ujinga utafi lvawewa
Umejichanganya boss Bashite ndiye aliyetoa orodha ya wauza madawa na akamtaja mbowe
 
Wewe hao wauza ngada wanakuhusu nini hata huyo Mbowe anayemwamini anaweza kuwa muuza madawa usiaamini sana maisha unayoyaona kuna upande wa mtu usio wazi huwezi kujua?

Waache wapambane wenyewe maaa unajitia kuwaonea huruma wauza madawa ya kulevywa kana kwamba hayo madawa hayana madhara kwa jamii yako!

Wabongo wengi bado ni wapuuzi na wapumbavu sana wako tayari kumtetea mharifu,muuza madawa, fisadi au mwenye cheo asiyetimiza majukumu yake eti anavunjiwa heshima!
Elimu,Elimu Elimu by Lowassa!
 
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao;
1. Kardinal Mstaafu Pengo
2. Sheikh Mkuu Zuberi
3. Askofu mkuu wa Anglican na baada ya kuteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa amefanya hivyo hivyo.

Najiuliza ametenda dhambi gani inayomtesa na kumfanya ahangaike hivi kutaka kuombewa? Mbona alipokuwa nje ya uongozi hatukumwona kuwatafuta hawa viongozi wa dini?

Ushauri kwa Bashite: Kama anautafuta wokovu basi awaombe Msamaha kwanza wale wote aliowatendea mabaya katika maisha yake na wakili kuwa wamsamehe ndio aende kwa hao viongozi wa dini bila kufanya hivyo sala na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea kichwani ni kazi bure.
Hata aombewe na mashehe na wachungaji wote, hizo sala hazina maana kama hataonyesha ni wapi alimzika Ben Saanane na Azory Gwanda.

Pia arudishe magari na fedha za matajiri na viwanja alivyowarubuni.

Na mwishowe atuambie ni nani alimtuma kumshambulia Tundu Lissu akiwa bungeni mwaka 2017

Kinyume cha hapo toba yale ni kupoteza muda tu
 
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao;
1. Kardinal Mstaafu Pengo
2. Sheikh Mkuu Zuberi
3. Askofu mkuu wa Anglican na baada ya kuteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa amefanya hivyo hivyo.

Najiuliza ametenda dhambi gani inayomtesa na kumfanya ahangaike hivi kutaka kuombewa? Mbona alipokuwa nje ya uongozi hatukumwona kuwatafuta hawa viongozi wa dini?

Ushauri kwa Bashite: Kama anautafuta wokovu basi awaombe Msamaha kwanza wale wote aliowatendea mabaya katika maisha yake na wakili kuwa wamsamehe ndio aende kwa hao viongozi wa dini bila kufanya hivyo sala na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea kichwani ni kazi bure.
MAKONDA ni maji ya kunywa na unajua umuhimu wa maji mwilini,usipoyanywa madhara yake ni makubwa sana ,kikiwemo na kifo,hivyo endelea kumtaja kila uchao ili usife
 
Umejichanganya boss Bashite ndiye aliyetoa orodha ya wauza madawa na akamtaja mbowe
Ndiyo maana nakujulisha kuwa kwenye wauzaji pia wapo waliokuwa wanauza kweli wengine wa mchongo. Ndiyo maana propaganda za kuchafuana CCM hazipaswi kupewa nafasi, tuwe tunaangalia na ukweli hata kwa wapinzani. Yaani mfano Dkt Samia na enzi zila za Dkt Ahmed Salim ilikuwa uongo ila watanzania wengi waliamini Dkt Salim ni gaidi anashirikiana na magaidi akiwa rais basi nchi itakuwa ya magaidi au ile habari ya chama mfu chadema chama cha wakristo au cha wachaga. Ninamaanisha kuwa Mh. Makonda kasingiziwa mambo mengi ya uongo
 
Wafuasi wa Bashite ni watu kama wewe. Sasa jiulize watu kama wewe ni watu wa aina gani,yawezekana mkawa ndiyo wale ma jiniasi 😂😂😂😂
MAKONDA ni maji ya kunywa na unajua umuhimu wa maji mwilini,usipoyanywa madhara yake ni makubwa sana ,kikiwemo na kifo,hivyo endelea kumtaja kila uchao
.
 
Wewe hao wauza ngada wanakuhusu nini hata huyo Mbowe anayemwamini anaweza kuwa muuza madawa usiaamini sana maisha unayoyaona kuna upande wa mtu usio wazi huwezi kujua?

Waache wapambane wenyewe maaa unajitia kuwaonea huruma wauza madawa ya kulevywa kana kwamba hayo madawa hayana madhara kwa jamii yako!

Wabongo wengi bado ni wapuuzi na wapumbavu sana wako tayari kumtetea mharifu,muuza madawa, fisadi au mwenye cheo asiyetimiza majukumu yake eti anavunjiwa heshima!
Elimu,Elimu Elimu by Lowassa!
Kuna kipindi Bashite alikuwa anaombea watu 😂😂😂😂😂😂
Unaweza jiuliza watu gani walikuwa wanaombewa na mtu kama yule,kumbe mpo wengi tu
 
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM amekwisha watembelea Wafuatao;
1. Kardinal Mstaafu Pengo
2. Sheikh Mkuu Zuberi
3. Askofu mkuu wa Anglican na baada ya kuteuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa amefanya hivyo hivyo.

Najiuliza ametenda dhambi gani inayomtesa na kumfanya ahangaike hivi kutaka kuombewa? Mbona alipokuwa nje ya uongozi hatukumwona kuwatafuta hawa viongozi wa dini?

Ushauri kwa Bashite: Kama anautafuta wokovu basi awaombe Msamaha kwanza wale wote aliowatendea mabaya katika maisha yake na wakili kuwa wamsamehe ndio aende kwa hao viongozi wa dini bila kufanya hivyo sala na Mikono ya hao Viongozi wa Dini Wanayomwekea kichwani ni kazi bure.
Wewe ni mpuuzi tu kila kukicha ni Makonda utadhani alikuchukulia mke wako, Makonda kachagua njia ya kumtanguliza Mungu mbele ndio maana unaona kachagua kuwa karibu na viongozi wadini,ulitaka ashinde kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli chonganishi?ila napo ungekuja kusema humu kuwa Makonda anatembea na waganga wa kienyeji.Hacheni kumchagulia mtu marafiki wa kuishi nao hapa duniani.Mbona Mbowe wenu anatembea na mizinga ya konyagi amleti nyuzi humu za kumsema.Makonda kachagua fungu bora (Mithali 13:20
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; <br>Bali rafiki wa wapumbavu ataumia. )
 
Ndiyo maana nakujulisha kuwa kwenye wauzaji pia wapo waliokuwa wanauza kweli wengine wa mchongo. Ndiyo maana propaganda za kuchafuana CCM hazipaswi kupewa nafasi, tuwe tunaangalia na ukweli hata kwa wapinzani. Yaani mfano Dkt Samia na enzi zila za Dkt Ahmed Salim ilikuwa uongo ila watanzania wengi waliamini Dkt Salim ni gaidi anashirikiana na magaidi akiwa rais basi nchi itakuwa ya magaidi au ile habari ya chama mfu chadema chama cha wakristo au cha wachaga. Ninamaanisha kuwa Mh. Makonda kasingiziwa mambo mengi ya uongo
Mkuu kwenye swala la uovu wa Bashite hilo hajasingiziwa, ni muovu wa kuzaliwa
Wewe ni mpuuzi tu kila kukicha ni Makonda utadhani alikuchukulia mke wako, Makonda kachagua njia ya kumtanguliza Mungu mbele ndio maana unaona kachagua kuwa karibu na viongozi wadini,ulitaka ashinde kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli chonganishi?ila napo ungekuja kusema humu kuwa Makonda anatembea na waganga wa kienyeji.Hacheni kumchagulia mtu marafiki wa kuishi nao hapa duniani.Mbona Mbowe wenu anatembea na mizinga ya konyagi amleti nyuzi humu za kumsema.Makonda kachagua fungu bora (Mithali 13:20
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; <br>Bali rafiki wa wapumbavu ataumia. )
Kwanza umeanza kwa kumuita jina fake,huyo anaitwa Bashite. Kifupi hajawahi kuwa mkweli kwenye lolote,watu wengine sijui huwa mnatoka wapi japo ni haki yenu kuchagua upumbavu
 
Bosi hizo ni propaganda, naomba kuuliza je Mh. Gwajima alishawapeleka wale vijana kusomea uvuvi kule Japani? Aliyeitoa hii habari ni muongo ni sawa leo uniambie Dkt Ahmed Salim alikuwa Mhizubu au Mbowe ni gaidi na keshaua wengi including ben8 alivyokuwa anautaka uenyekiti. Kwa ufupi mkuu wanamsingizia ndugu Makonda.
 
Mwenyezi Mungu akamwambia Kaini "ndugu yako yupo wapi. maana damu ya ndugu yako inanililia toka ardhini na ardhi umefungua kinywa kupokea damu yake".
Damu huwa inalia!
Damu huwa inalalamika!
Damu huwa inatafuta wabaya wao!
Damu ni uhai, damu ndio roho usichezee kabisa na "maisha ya mtu" mwingine
 
Mkuu siyo kila kitu kinahitaji ushahidi,vingine unatumia akili zako tu kulingana na mazingira. Bashite ni muovu by nature. Lakini yawezekana wewe ukawa unamuona ni mtu mwema kwa upande wako,ndiyo maana kuna ambao mpaka anawaombea 😂😂😂😂
Bosi hizo ni propaganda, naomba kuuliza je Mh. Gwajima alishawapeleka wale vijana kusomea uvuvi kule Japani? Aliyeitoa hii habari ni muongo ni sawa leo uniambie Dkt Ahmed Salim alikuwa Mhizubu au Mbowe ni gaidi na keshaua wengi including ben8 alivyokuwa anautaka uenyekiti. Kwa ufupi mkuu wanamsingizia ndugu Makonda.
 
Wewe ni mpuuzi tu kila kukicha ni Makonda utadhani alikuchukulia mke wako, Makonda kachagua njia ya kumtanguliza Mungu mbele ndio maana unaona kachagua kuwa karibu na viongozi wadini,ulitaka ashinde kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli chonganishi?ila napo ungekuja kusema humu kuwa Makonda anatembea na waganga wa kienyeji.Hacheni kumchagulia mtu marafiki wa kuishi nao hapa duniani.Mbona Mbowe wenu anatembea na mizinga ya konyagi amleti nyuzi humu za kumsema.Makonda kachagua fungu bora (Mithali 13:20
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; <br>Bali rafiki wa wapumbavu ataumia. )
Dogo usiwe mkali kaa kwa kutulia na kumbuka haya;
1. Chanda chema huvikwa pete, bali tofauti na hapo huvukwa UOVU.
2. Chema chajiuza kibaya chajitembeza, bashite anatembea na "sifa" yake ya yale aliyofanya.
3. Nyerere, Mandela na Nkurumah wanatembea kwa yale waliyonya, Amini, Hittler na Musolini wanatembeaq na yale yao! Sasa wewe unataka Bashite atembee na sifa ipi? Si ile aliyotengeneza yeye?
KIla mtenda wema atakumbukwa kwa wema na kila mtenda UOVU atakumbukwa kwa UOVU wake (BY: MARIJANI RAJAB)
 
Mkuu siyo kila kitu kinahitaji ushahidi,vingine unatumia akili zako tu kulingana na mazingira. Bashite ni muovu by nature. Lakini yawezekana wewe ukawa unamuona ni mtu mwema kwa upande wako,ndiyo maana kuna ambao mpaka anawaombea 😂😂😂😂
Je mbowe ni gaidi? Je lisu, mbowe, lema wanashiriki mapenzi ya jinsia moja? Je mbowe alimuua kweli chach wangwe. Je mbowe ni kweli alikodisha wauaji wa lisu? Kama hivyo unaamini ni uongo basi hata sisi Mh. Makonda ni uongo maana hakuna ushahidi.
 
Back
Top Bottom