Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Tumtafute Mungu wakati anapatikana, na tumwite wakati yuko Tayari....

Daima tusichoke kumtafuta Mungu
 
Je mbowe ni gaidi? Je lisu, mbowe, lema wanashiriki mapenzi ya jinsia moja? Je mbowe alimuua kweli chach wangwe. Je mbowe ni kweli alikodisha wauaji wa lisu? Kama hivyo unaamini ni uongo basi hata sisi Mh. Makonda ni uongo maana hakuna ushahidi.
Mkuu hiyo ni imani yako juu ya huyo Bashite,na mbona unapenda kumu address kwa jina fake,au imani yako kwake inakutuma kuwa hilo ni jina lake halisi? Huyo anaitwa Bashite au DAB. Hayo maswala ya Mbowe, Lissu au Lema hata wewe unajua fika kuwa ni uongo.
 
Kukosekana kwa ushahidi siyo ushahidi wa kutokowepo kwa ushahidi. Hakuna uovu ambao Bashite hajafanya, kama hujui hilo basi jua na wewe ni kama huyo Bashite
Unahisi uko sawa hadi hapo?
Unatumia JF kwa kukashifu watu
 
Bosi wewe siyo binadam, maana nimekuelewesha, hata mi ukikuta namkashifu mbowe au lema ni ushabiki tu ila hakuna ikweli ila kuchafuana na ndiyo mtindo
 
Unahisi uko sawa hadi hapo?
Unatumia JF kwa kukashifu watu
Mkuu hapo nimemkashifu nani au jambo gani nimesema la kukashifu. So wewe kuwa sawa na Bashite ni kashfa kwako? Kama ni kashfa kwako basi samahani sana. Mimi nilidhani kukulinganisha na Bashite ni kukusifia so kama ni kinyume chake nisamehe mimi, tuko hapa kubadilishana maarifa na siyo kupeana hard feelings.
 
Hakuweza kuwatafuta kipindi kile kwa vile alikuwa anajitayarisha kuwa mchungaji. Hivyo hakuona sababu ya kuwatafuta.
 
Bosi wewe siyo binadam, maana nimekuelewesha, hata mi ukikuta namkashifu mbowe au lema ni ushabiki tu ila hakuna ikweli ila kuchafuana na ndiyo mtindo
Mkuu duh unafikia kuniambia kuwa mimi siyo binadamu,hili siyo sawa. Una haki ya kumsema vyoyote Mh Mbowe au Mh Lissu kulingana na mtazamo wako. Hata mimi nina haki ya kumsema yeyote akiwemo Bashite wako ili mradi tu tusivunje heshima ya mtu
 
Nisaheme sana bosi. Nimekuelewa sana. Mh. Mbowe aliuza chama chake mfu kwa Mh. Lowasa kwa bil 10, hili lina ushahidi kabisa. Tunasubiri 2025 sijui atamuuzia nani maana haeleweki.
 
Nisaheme sana bosi. Nimekuelewa sana. Mh. Mbowe aliuza chama chake mfu kwa Mh. Lowasa kwa bil 10, hili lina ushahidi kabisa. Tunasubiri 2025 sijui atamuuzia nani maana haeleweki
Je waweza weka hapa ushahidi wa hizo tuhuma? Hizo ni propaganda tu. Ni kama ambavyo Jiwe alikuwa anawaita kuwa nyie ni wanyonge na mwisho wa siku hakuna alichofanya kuwatoa huko kwenye unyonge mpaka kufa kwake. Lakini mpaka leo kuna watu wanajisifia unyonge
 
Bosi haihitaji ushahidi tumia tu akili yako ya kawaida kuona jinsi mbowe alivyopiga mpunga ghafla akawa mtu wa ukwasi. Kwa ufupi Mh. Mbowe ni jambazi kama alivyo Mh. Lema na ujambazi wa magari
 
UNGEJIKITA KUTAFUTA PESA. MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE. NYIE VIJANA WA KINONDONI HAMPO BUSY KABISA. MNAPATA WAPI MUDA WA KUTAFAKARI WANAUME?
 
Bosi haihitaji ushahidi tumia tu akili yako ya kawaida kuona jinsi mbowe alivyopiga mpunga ghafla akawa mtu wa ukwasi. Kwa ufupi Mh. Mbowe ni jambazi kama alivyo Mh. Lema na ujambazi wa magari
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizo ni propaganda tu kama zile za konyagi, hope unatania tu ila kama kutoka moyoni unaamini hivyo basi ile takwimu ya kila Watanzania wanne kuna ..... itakuwa inakuhusu
 
Bosi haihitaji ushahidi tumia tu akili yako ya kawaida kuona jinsi mbowe alivyopiga mpunga ghafla akawa mtu wa ukwasi. Kwa ufupi Mh. Mbowe ni jambazi kama alivyo Mh. Lema na ujambazi wa magari
NYIE MADOGO MNAPATA WAPI MUDA WA KUKAA KUWAFIKIRIA WANAUME? VIJANA WA KINONDONI MNA SHIDA SANA. AKINA JUMA LOKOLE.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizo ni propaganda tu kama zile za konyagi, hope unatania tu ila kama kutoka moyoni unaamini hivyo basi ile takwimu ya kila Watanzania wanne kuna ..... itakuwa inakuhusu
Hahahahaha mbona inajulikana kabisa mbowe ile klub yake ya bilicana ilikuwa kituo cha kuuza madawa ndiyo maana serikali ilivunja hahaha (sasa sisi CCM kwa propaganda hutuwezi tukiamua). Ila issue ya bilcana mbowe ndiye alijichnganya. Alikula hela ya watu akaingia mitini. Yaani manyanyaso ya mbowe hayakuwa ya kisiasa na hayaihusu kabisa chadema it was 100% his personal issue ila chadema kwa sababu ina wanachama wale wa miongoni mwa watanzania kumi wanne wamo basi akaifanya ikawa ajenda ya chama. Nadhani Dkt Samia alishamrefund some of the hasara. Ila walimtia hasara sana tena zidi ya hicho alichoiba. Mbowe in personal ni tapeli na msaliti. Ndiyo maana the moment mbowe akiwchia uenyekiti chadema inaweza kufanya vizuri zaidi ila as of now ni ngumu kwa sababu anachanganya chama na mambo yake binafsi. The same kwa ayatola zito. Kwa ufupi Tanzania upinzani hatuna bado.
 
Wewe ukiambiwa uyataje hayo madhambi unaweza? Au unafuata mkumbo tu.
Sasa kama unaishi gizani kiasi cha kutokujua maovu ya Bashite nikikueleza hapa utaamini tu kama kondoo au ntapogeza muda bure,inaweza kuwa na wewe ni Sukuma gang who knows
 
Ndio maana unaona Wewe ninakuita mpuuzi tu,yote unayoyasema juu ya Makonda hakuna lolote lenye udhibitisho,eti Makonda alimpiga ndiye alimpiga lissu risasi,mala ho Makonda alizurumu huai wa Watu,ukiuliza ni mtu yupi aliyefia mkononi mwa Makonda hakuna mwenye jibu,asira zenu kwa Makonda ni kuwa aliwazuia kufanya ushoga hadharani na kuuza madawa ya kulevya ili msiharibu vijana,tokea hapo mlianza kumwandama pamoja na wafadhili wenu American, Maana ndio wafadhili wa mambo hayo kwa kigezo ni haki za binadamu.Mwacheni Makonda afanye kazi aliyepewa na Mungu maana Kila mmoja atatoa hesabu kwa kazi aliyoifanya chini ya jua.
 
Bosi haihitaji ushahidi tumia tu akili yako ya kawaida kuona jinsi mbowe alivyopiga mpunga ghafla akawa mtu wa ukwasi. Kwa ufupi Mh. Mbowe ni jambazi kama alivyo Mh. Lema na ujambazi wa magari
Mbowe tokea baba yake miaka 1950's ni tajiri mkubwa sana yaani mbowe kazaliwa kakuta utajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…