Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sisi majobles tunaiomba Serikali yetu Chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia kuwa UMRI WA KUSTAAFU UPUNGUZWE UWE MIAKA 45 hiari na 55 lazima ili vijana wanao maliza vyuo vikuu wapate nafasi
 
Makonda huwa lazima aharibu. Sasa watu wameamua kujiita wadudu halafu yeye anajidai kumjua sana Mungu!! Wadudu walivyoambiwa hivyo moyoni watakuwa walisema, "Huyu dingi ni gani!?"
 
Haoni tatizo kubwa zaidi ni MSD kutumia miezi mitatu hadi minne kufikisha dawa na vifaa hospitalini ili ashughulike nalo hilo zaidi?
Nadhani ina shida ya kuelewa kwamba baadhi ya vifaa ni lazima vizalishwe ndio viletwe nchini,

Labda tungejouliza why mopango ya ununuzi ya vituo vya afya huwa ni Siri hadi mwaka wa pesa ukikaribia kuisha ndio inakua dharura?
 
Incompetence ni Kitu Cha kawaida sana ktk utendaji kwa watu Weusi hapa duniani, ndio maana hata Rais wa zamani wa nchi ya Afrika ya Kusini Pieter W. Botha alisema kwamba watu Weusi siyo wazuri kwa lolote lile, zaidi ya kuendekeza ngono.
 
MSD kutoa Dawa na vifaa tiba kutoka Dar to Dodoma 4months?

Afrika kuna shida kubwa sana
 
Huu upuuzi wako ndo umetufikisha hapa tulipo!!!! Hvi unawajua waafrika wewe???? Ikibidi hata fimbo zitumike kabisaa
 
Incompetence ni Kitu Cha kawaida sana ktk utendaji kwa watu Weusi hapa duniani, ndio maana hata Rais wa zamani wa nchi ya Afrika ya Kusini Pieter W. Botha alisema kwamba watu Weusi siyo wazuri kwa lolote lile, zaidi ya kuendekeza ngono.
malizia kabisa na rushwa.
 
Afrika bado tunashida sana nandio maana nivigumu sana mwalimu kuendesha masomo bila mzigo wafimbo.
 
Ila watumishi wa umma hapa Tanzania ni Kama wanalazimishwa kufanya kazi, yaani mtu anaenda kupata breakfast, anachukua masaa 3 alafu unakuta wananchi wanamsubiri ili wapate huduma. Sijui wana shida gani watumishi wa umma wa hii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…