Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hizo sifa unazommwagia RC, vinafanya manako anune!
 
Zaburi 118:22-24
Jiwe walilolikataa waashi,
Limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Jambo hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni ajabu mno machoni petu.

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana,
Tuishangilie na kuifurahia.
Zaburi: 23:1
'Bwana ndie mchungaji wangu sita pungukiwa na kitu.'

mwisho wa kunukuu...🐒
 
Nakubali makonda hanaga akili na ni mhuni haswalakini atleast ana nia njema na hii nchi ukilinganisha na CCM wenzie na ndiyo maana anapendwa licha ya skendo chafu katika historia yake.

Ukionyesha kuwajali na kusimama upande wa wananchi tu hasa wa tabaka la kati na la chini badi siasa umeziwin labda tu ufitiniwe na wenye nia ovu.
 
Watakuita sukuma gang mkuu!
 
Moja kati ya wakuu wa mikoa wa o-fy-o kuwahi kutokea.
Anayofanya si majukumu yake, zipo mamlaka.
Pale ni sinema tu kama zilivyo za kina amita na mitun !
Acha wivu wako wewe. Unatamani ungekuwa ndio wewe lakini kwa bahati mbaya siyo wewe na huna uwezo wa kuwashawishi hata majirani zako tu wakakuunga mkono katika jambo lolote lile.zaidi ya kukuona wewe ni mtu wa hovyo.
 
Reactions: Tui
Mkuu unajua siku hizi heshima yako imeshuka sana,kufupi watu wanakupuuza kama ulikuwa hulijui hili. Iko siku utakuja kuandika jambo la maana lakini watu watakupuuza wakijua ni yaleyale maujinga yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…