Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana.

na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii vibaya kuelezwa ukweli na kuchukuliwa hatua...

kwa hakika anawazidi mambo mengi sana, viongozi wengi sana wa kitaifa, wa chama na serikali.
mambo yake yanafanyika hadharini tena mchana kweupe....

bila shaka yoyote, ipo kazi maalumu, ambayo Mungu amempatia aitimize kwa manufaa ya watu wa inchi hii. na ndio maana ana ujasiri wa kipekee sana, ana nguvu na sauti ya kimamlaka, haogopi vitisho vya wasiopendezwa nae, hakati tamaa, wala kuyumba katika kuyafikia malengo yake kwa wanainchi, lakini pia kufanikisha ndoto na matarajio ya wanainchi anao waongoza....

awali alipambana na uwajibikaji wa viongozi wa idara na taasisi mbalimbali kwa wanainchi wakadai anaigombanisha serikali.
alitumia Top Down Approach kutatua changamoto za wanainchi...

hivi sasa ameamua kuanzia chini kwa wanainchi kupelekea juu kwa wanaowajibika na mipango na miradi mbalimbali kwa manufaa ya wanainchi. hivi sasa anautmia Bottom Up Approach kutatua kero na changamoto za wanainchi....

hata hivyo,
kwa narratives zote mbili, tangu akiwa mwenezi wa chama, mkuu wa mkoa wa Arusha, amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kugusa mioyo, ndoto na matarajio ya wanainchi nchi nzima. Kijana huyu ni zawadi na hazina ya kipekee sana kwa Tanzania.

Inafaa kijana huyu aombewe na kila Mtanzania, na afikiriwe kwenye miongoni mwa nafasi za kipekee sana, za juu humu nchini kwa wakati muafaka utakapofika 🐒
 
Hii promo humu ni kuwa wote mmeguswa na makonda au ni publicity stunt
 
ila Mtanzania, na afikiriwe kwenye miongoni mwa nafasi za kipekee sana, za juu humu nchini kwa wakati muafaka utakapofika 🐒
Ni heri uwe mkweli hadharani kuliko kuchongea watu gizani kijana apige kazi!
 
Hii promo humu ni kuwa wote mmeguswa na makonda au ni publicity stunt
check approaches zake katikati kufikia conclusions za malengo yake na matarajio ya wanainchi.....

Top Down Approach na Bottom Up Approaches, zinafanyika hadharini mchana kweupe ....

publicity ipi unataka tena?
every media platforms ni Makonda tu. which publicity is more than that?🐒

ndio maana nasema this gentleman is more than a leader 🐒
 
ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana.

na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii vibaya kuelezwa ukweli na kuchukuliwa hatua...

kwa hakika anawazidi mambo mengi sana, viongozi wengi sana wa kitaifa, wa chama na serikali.
mambo yake yanafanyika hadharini tena mchana kweupe....

bila shaka yoyote, ipo kazi maalumu, ambayo Mungu amempatia aitimize kwa manufaa ya watu wa inchi hii. na ndio maana ana ujasiri wa kipekee sana, ana nguvu na sauti ya kimamlaka, haogopi vitisho vya wasiopendezwa nae, hakati tamaa, wala kuyumba katika kuyafikia malengo yake kwa wanainchi, lakini pia kufanikisha ndoto na matarajio ya wanainchi anao waongoza....

awali alipambana na uwajibikaji wa viongozi wa idara na taasisi mbalimbali kwa wanainchi wakadai anaigombanisha serikali.
alitumia Top Down Approach kutatua changamoto za wanainchi...

hivi sasa ameamua kuanzia chini kwa wanainchi kupelekea juu kwa wanaowajibika na mipango na miradi mbalimbali kwa manufaa ya wanainchi. hivi sasa anautmia Bottom Up Approach kutatua kero na changamoto za wanainchi....

hata hivyo,
kwa narratives zote mbili, tangu akiwa mwenezi wa chama, mkuu wa mkoa wa Arusha, amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kugusa mioyo, ndoto na matarajio ya wanainchi nchi nzima. Kijana huyu ni zawadi na hazina ya kipekee sana kwa Tanzania.

Inafaa kijana huyu aombewe na kila Mtanzania, na afikiriwe kwenye miongoni mwa nafasi za kipekee sana, za juu humu nchini kwa wakati muafaka utakapofika 🐒
Naona hadi tuhuma za tuhuma za gwaji boy zimepotezewa
 
Huyo ndio Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda. Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Paul Makonda ni 'mbumbumbu,' halafu ndio awe kiongozi wa watu? Hana sifa hata moja ya kuongoza Watu labda wanyamapori.
Ngumbaru wenu huyo labda mumteue kushika nafasi ya uongozi kwenye hicho chama chenu Cha CCM lakini siyo uongozi katikà taasisi za Serikali ya nchi hii. Tz Ina wasomi wengi sana kwa Sasa, hatuwezi kuendelea kubaki na viongozi mbumbumbu na Ngumbaru Kama Paul Makonda. Hatuwataki.
 
Simfananishi Lisu na Makonda ila ukweli kila mtu anajua Makonda ni RC wa Arusha, hivi hata RC wa Mkoa wangu namjua kwa sura na sio jina na mienendo yake kama ilivyo kwa Arusha. Unaweza sema Tanzania kuna Mkuu wa Mkoa mmoja tu,
Publicity mkuu. Wengine hivyo vitu hawana. Mtu Kama Hussein Mwinyi hapendi publicity
Lissu simwamwini hata kidogo
Shida yako ni Lissu. Makonda mlinganishe na akina CCM wenzake akina Chalamila.
 
Paul Makonda ni 'mbumbumbu,' halafu ndio awe kiongozi wa watu? Hana sifa hata moja ya kuongoza Watu labda wanyamapori.
Ngumbaru wenu huyo labda mumteue kushika nafasi ya uongozi kwenye hicho chama chenu Cha CCM lakini siyo uongozi katikà taasisi za Serikali ya nchi hii. Tz Ina wasomi wengi sana kwa Sasa, hatuwezi kuendelea kubaki na viongozi mbumbumbu na Ngumbaru Kama Paul Makonda. Hatuwataki.
relax bas kamanda, tuliza mihemko....

hao wasomi unaosema, wako wapi na wanafanya nini kwa maslahi mapana ya wanainchi, kwenye kwenye kutatua kero na changamoto zao mbalimbali binafsi na za jumla walizohangaika nazo miaka nenda miaka rudi huko mtaani, na kisha Pau Makonda anaziibua na kuzitatua within minutes?🐒

saa zingine gubu binafsi dhidi ya wachapakazi, zinachosha nafsi, akili na mioyo tu, na kumfanya mtu achekwe na kupuuzwa na jamii bure tu 🐒
 
Naona hadi tuhuma za tuhuma za gwaji boy zimepotezewa
unajua tuhuma ni mashaka tu yasiyothitishwa kwamba jambo au mambo fulani ni kweli au sio kweli....

so,
mchapa kazi na mwenye bidii hawezi zubaa au kubabaika na tuhuma anazotuhumiwa ambazo mara nyingi kwa visionary leaders zinakuaga kama setbacks tu 🐒

sasa kwa morden leaders hiyo ni opportunity ya kukusukuma na kukuchochea ufanye bidii zaidi ya kazi, Lakini pia ufanikiwe na kusonga mbele zaidi 🐒
 
Rafiki na mabeberu unaitia nchi mashaka, akiwa rais atakuja kuiuza siku
Fear of the unknown. Unawaza kitu halafu unajijibu wakati uhalisia uliopo unakataa. Hivi hii nchi raslimali ngapi zimeuzwa au ufisadi mingapi imefanyika?. Ila wewe unamuota Lissu kana kwamba ndio Rais.
 
Nasisitiza tena lisu ni kichaa ana ugonjwa wa akili toka zamani. Wewe angalia hotuba zake tu. Hana anachosimamia zaidi ya kuanzisha vitu ambavyo havina mwisho. Ni huo ugonjwa wa akili humfanya kuwa mropokaji na mdhalilishaji
Ila wewe mwenye akili timamu umejificha JF na ID feki. Mnafiki Sana.
 
Back
Top Bottom