Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana.
na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii vibaya kuelezwa ukweli na kuchukuliwa hatua...
kwa hakika anawazidi mambo mengi sana, viongozi wengi sana wa kitaifa, wa chama na serikali.
mambo yake yanafanyika hadharini tena mchana kweupe....
bila shaka yoyote, ipo kazi maalumu, ambayo Mungu amempatia aitimize kwa manufaa ya watu wa inchi hii. na ndio maana ana ujasiri wa kipekee sana, ana nguvu na sauti ya kimamlaka, haogopi vitisho vya wasiopendezwa nae, hakati tamaa, wala kuyumba katika kuyafikia malengo yake kwa wanainchi, lakini pia kufanikisha ndoto na matarajio ya wanainchi anao waongoza....
awali alipambana na uwajibikaji wa viongozi wa idara na taasisi mbalimbali kwa wanainchi wakadai anaigombanisha serikali.
alitumia Top Down Approach kutatua changamoto za wanainchi...
hivi sasa ameamua kuanzia chini kwa wanainchi kupelekea juu kwa wanaowajibika na mipango na miradi mbalimbali kwa manufaa ya wanainchi. hivi sasa anautmia Bottom Up Approach kutatua kero na changamoto za wanainchi....
hata hivyo,
kwa narratives zote mbili, tangu akiwa mwenezi wa chama, mkuu wa mkoa wa Arusha, amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kugusa mioyo, ndoto na matarajio ya wanainchi nchi nzima. Kijana huyu ni zawadi na hazina ya kipekee sana kwa Tanzania.
Inafaa kijana huyu aombewe na kila Mtanzania, na afikiriwe kwenye miongoni mwa nafasi za kipekee sana, za juu humu nchini kwa wakati muafaka utakapofika 🐒