Pre GE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanabuni tatizo kisha hao kurupu kwenye kulitatua.

CCM ina laana
 
Mokonda watakutoa hapo unataka wenye mabasi wakale wapi
Ni mwendo wa kuuma na kupuliza hakuna hapo ambaye sio part ya huu uharamia huu ni mwendo wa good Cop, Bad Cop wakati wote ni Maharamia...

He is not deceived who knows himself to be deceived
 
Hizo ni mvua za rasha rasha tu .ngoja atue huyu hapa pia muone moto utakavyowashwa nchi hii.Maana kwa sasa siasa zimetekwa na majabali mawili tu Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na Dr Emmanuel NchimbiView attachment 2876673
Nmeona hapo kijana wa green guard anasukumwa asogee kwenye second cycle ya security uso unaonyesha ni jinsi gani alivyojiskia vibaya sjui hajui protocal au hakupewa briefing kabla maskin ya mungu
 
Huyu msanii angeyasema kabla boss hajazema walao tungesikia.
 
Wanajifanya kutupumbaza kwa maneno ya ulaghai. Umeme tu umewashinda, sembuse hiyo SGR!
 
Na mwezi July utapita kiasi mnashangaa ya February
Nasema mbaki kwenye treni za makaa ya mawe tu maana hata ya diesel mnaiba
Huu umeme ndio msahau kabisa
Imagine ina speed kali hata umeme unakatika break ni Kigali just kidding
 
Muwe wavumilivu... Msipaniki..

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kazi iendelee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…