Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Yuko sawa!

Hivi kwa mfano, hata kama kweli hiyo corona ipo, mnataka mjifungie uvunguni mpaka mwaka gani?

Dawa hakuna. Ugonjwa wenyewe butu wa kubumba. A scam!! An illusion!

Vitishoo viiiingiiiii... sijaona hata sisimizi akifa!

Kazi lazima ziendelee na maisha yarudi kwenye mstari.

Wanaoendelea kujiloki kwenye makontena waendelee. Wakitoka wanakuta corona bado yupo... wanajiloki tena. Mpaka 2040 akili zitawakaa sawa.

Ni mwendo wa kujiloki na kujiunloki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu hazijatengenezwa kufurahisha wananchi.

Zimetengenezwa ili kutoa picha halis na kusaidia serikali kuona wapi wanaweza kuongeza nguvu.. nn kifanyike.

Takwim ni kitu muhim sana katika deciosion making.
Unajua maamuzi ya bajeti ya tanzania maamuzi yake yanafanyika kutokana na takwim kutoka wizara mbali mbali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalii huko kwao mashirika yao hayajaanza kuruka. Bado wamezuia asilimia kubwa ya maashirika ya ndege.

+ ule utaratibu wa kuwapima kwanza ungeendelea. Ili wasije tuletea magonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbia Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi". Mwisho wa kunukuu!...
Unamkosea heshima Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeko mapumzikoni huko Chato. Kilangila.
 
Piga keleeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…