GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani ni kitu kingine na reality kitu kingineKwa imani ya Yesu kama alivyosema Makonda, ndiyo
Unajuaje kama hawajapimwa?Mkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.
watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
Takwimu hazijatengenezwa kufurahisha wananchi.Kujua takwimu sio ndio kuishinda Corona bali ni kifuata taratibu na maelekezo ya serikali ili kuepukana na Corona.
Hivi takwimu hujui kama zinaleta hofu pia Mana watu watazidi kuogopa na kushindwa kuendesha shughuli za maendeleo ya familia na taifa,Mungu ibariki Tanzania
Herd immunity. Hii project anayoifanya bwana mzee si nzuri ihivyo. 60% waugue ili 40% wapone.Ruhusa ya maambukizi ya kijamii ili kutengeneza hard immunity...
Watakaokufa na wafe watakaobaki na waishi...
Za kuambiwa....
Watalii huko kwao mashirika yao hayajaanza kuruka. Bado wamezuia asilimia kubwa ya maashirika ya ndege.Corona imeisha bila takwimu kujulikana.
Pia miili ya marehemu haipimwi Corona kwa sababu wameshakufa huwezi kuwasaidia.
Basi Pandemic imeisha, watalii wataanza kuja. Mashirika ya ndege, siwezi kuyataja hapa, yana bookings za watalii wetu mpaka December. Yaani ndege zimejaa.
Maneno yake yanaishi
Hapana itaisha JumapiliKwahivyo corona imeisha?
Unamkosea heshima Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeko mapumzikoni huko Chato. Kilangila."Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbia Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi". Mwisho wa kunukuu!...
Piga keleeeeeeeNa Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.
Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee