Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.

Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.

 
Kujenga hoteli basi anajiona yeye kamaliza mziki vikwazo yeye haumhusu unawahusu Wananchi
Hahaha chadema wameumbuka
Screenshot_20200201-193120.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yake na pia nafikri pia anajua na anamifano hai kama si kutokana na uongozi wake basi kwenye mapito ya maisha! Wako wasichana wengi ambao wamepata mimba na wakarudi shule baada ya kujifungua sasa hivi wanawasomesha watoto wao na wanamaisha mazuri. Na wapo kama wanavyotaka wao hawakuweza kurudi shule lakini sasa hivi na single mothers wanahangaika na maisha.

Lengo la kuwakataza hao watoto ni nini? labda wametenda dhambi sasa adhabu ndio hiyo ya kuwanyima elimu? Ok, Mwisho wa siku unajenga taifa la wasomi au la wajinga? taifa la omba omba au la kujitegemea? Kuteleza siyo kuanguka waachani watoto wenye nafasi waendelee na shule mwisho wa siku wakajitegemee badala ya kuwa omba omba
 
Yaani awamu hii watu wanashindana sijabata ona .Kwani hiyo altenative path way sijui aliyosema Prof hao wanafunzi wangewaacha wapi watoto wao ,au watoto wangekuwa na uwezo wa ku hire house girl.Jamani RC nyamaza upepo upite ni busara pia
 
Sawa , tumemsikia na kumuelewa...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.

Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
Kwa mtu anayetuhumiwa kugushi vyeti sitarajii at any moment anaweza kuwa na fikra chanya juu ya elimu, kwake elimu ni suala zima la ujanja ujanja tu.
 
Yeye si ni Bashite jina la Makonda angelipata wapi isingekuwa fulsa za Mkapa?

Kuacha watu kutumia majina ya wengine?

Makonda ana ufala mwingi sana wala akumbuki kuwa alikuwa mfunga viatu vya mtoto wa kikwete.

Imagie Bashite angekuwa wapi leo duh. nchi inaangamia kwa kuruhusu watu kama yeye kufoji vyeti vya wengine na kuwanyima watu makini nafasi ya kwenda shule.

Huwezi ukahitaji mkopo halafu wewe ukapanga masharti ya kijinga mkopo utaukosa na wa kulaumiwa ni wewe.
 
Huyu jamaa si alipata 0.. kwanza kumuacha aongee na watoto wa shule sio vizuri kwa afya ya akili ya hao watoto.. atawaambukiza ujinga..

Kama ni muhimu sana kuongea na watoto basi wangeweka hata barrier 😂 asije kuwaambukiza 0
 
Ndio katumwa aseme hayo?Asitake kuhamisha attention huyo muuaji,ajibu tuhuma zake kwanza zinazomkabili,shwain!
Kwa kauli hiyo,mnadhani diplomasia itafanya serikali ipate pesa za WB?Ndio kaharibu kabisaa huyo mpumbav!
 
Back
Top Bottom