Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

Huyu jamaa si alipata 0.. kwanza kumuacha aongee na watoto wa shule sio vizuri kwa afya ya akili ya hao watoto.. atawaambukiza ujinga..

Kama ni muhimu sana kuongea na watoto basi wangeweka hata barrier 😂 asije kuwaambukiza 0
Kama mimba inaambukizwa basi hata Zero inaambukizwa,na yeye azuiwe asisogelee watoto wanaosoma maana atawaambukiza zero!
 
Chura![emoji30][emoji30][emoji30]
masoudkipanya_B8F0WM9DOV0.jpeg
 
Kwa taarifa yake na pia nafikri pia anajua na anamifano hai kama si kutokana na uongozi wake basi kwenye mapito ya maisha! Wako wasichana wengi ambao wamepata mimba na wakarudi shule baada ya kujifungua sasa hivi wanawasomesha watoto wao na wanamaisha mazuri. Na wapo kama wanavyotaka wao hawakuweza kurudi shule lakini sasa hivi na single mothers wanahangaika na maisha.

Lengo la kuwakataza hao watoto ni nini? labda wametenda dhambi sasa adhabu ndio hiyo ya kuwanyima elimu? Ok, Mwisho wa siku unajenga taifa la wasomi au la wajinga? taifa la omba omba au la kujitegemea? Kuteleza siyo kuanguka waachani watoto wenye nafasi waendelee na shule mwisho wa siku wakajitegemee badala ya kuwa omba omba
Mimba uingia kwa vyanzo vingi ikiwemo kubakwa ,kulagaiwa usafiri wa bodaboda hasa vijijini,tunapiga vita mimba lakini tusiwanyime haki ya elimu waliopata bila kutarajia
 
Yeye mwenyewe Makonda ni Gay. Watu wanakamua tu
Una ushahidi, au kwa vile upo nyuma ya keyboard tu?!

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Mpumbavu kweli huyu Makonda..

Pesa siyo za Magufuli ..ni Kodi za Watanzania..Kodi tulipe sisi Watoto wetu waitwe Mizigo?!!!

Pumbavu sana Huyu Makonda.
Kweli ni mpumbav aliyeshiba madaraka,anabwabwaja utafikiri pesa ni zake na babake!
 
Back
Top Bottom