Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kila shetani na mbuyu wake!Kuna ' Members ' kama Watatu hivi hapa hapa walianzisha ' threads ' zao wakijiaminisha kabisa na wakitaka Makonda ' atumbuliwe ' upesi na nikawaambia kuwa wanapoteza muda Wao na hilo kamwe halitowezekana. Kwa wenye Akili sawasawa Vichwani mwao watakubaliana na Mimi kuwa hadi Makonda anakuja na Kauli hizi za Nyodo na Dharau ni kwamba kuna Mtu anampa Kiburi, Jeuri, ana Faidika nae, anamlinda na ameshamuhakikishia kuwa hatomtoa hadi atakapomaliza Muhula wake huu wa Kwanza. Kama ni Makonda ' Kutumbuliwa ' hapo alipo hilo lingefanyika Siku nyingi sana ila jiulizeni ni kwanini ' hatumbuliwi ' ila wale wanaofanya ' just minor blunders ' za Kiutendaji hawacheleweshwi ' Kutumbuliwa ' katika nafasi zao? Namalizia kwa Kusisitiza kutokana na sababu zangu za ndani kabisa kuwa RC Makonda ' hatotumbuliwa 'ng'o hapo alipo na atamaliza pamoja na ' Mteuwaji ' wake hadi mwisho wa Muhula wake. Mkiambiwa kuwa kuna Watu wanajua ' Kuroga ' vizuri nchini Tanzania muwe mnaamini na mnatuelewa.
Wote ni wapumbav kwa mujibu wa Makonda!na walioandika ilani ya ccm na kuinadi na waliochagua ilani ya ccm 2015?
Niliota kuwa kuna uchawi wa kuweka jina lako na la mume wako kwenye chupa na kisha mtaalamu anaifunga ile chupa inatupwa katika jina kirefu cha bahari. Hapo kukuacha ni mpaka kifo kiwatenganishe.
kuna mawifi wanga wanaweza kuivuta ile chupa kwa mtaalamu mwenye masters. Hapo bahati yako inakuwa mbaya sana.
Jaribu kwenda bila kuoga mkuu.Hivi ile issue ya kuoga kabla ya kwenda town bado inasimamiwa?
Kwa mujibu wa sheria za nchi yetu,binti chini ya miaka 18 ni mtoto na kufanya naye mapenzi ni sawa na kumbaka,haijalishi umemdanganya au umetumia nguvu!Kwa mantiki hiyo,kila anayepata mimba akiwa na umri chini ya miaka 18 amebakwa kwa maana hajitambui!Sasa hapa tunamzuia mtoto aliyebajwa kupata elimu,hii ni akili au matope?Katika swala Zima la m toto wa kike kupata mimba akiwa bado mwanafunzi wa shule za chini, tunatakiwa kufanya maamuzi ya kutomruhusu kuendelea na shule baada ya kuangalia vigezo vingi kama ifuatavyo.
1. Je alibakwa?
2. Je maendeleo yake yakoje Darasani?
3. Je anarekodi ya tabia mbaya shuleni?
Sheria zinasema usimhukumu mtu bila kumsikiliza.
Kama mto to wa kike ana maendeleo mazuri darasani, hana tabia mbaya lakini alibakwa na kupewa mimba, sisi tunaomfukuza shule akili zetu zitakuwa hazitoshi hata kuvaa nguo. Tutakuwa watembea uchi.
Kuna Siku moja hivi nilimuona ' Jamaa ' anatembea peke yake mitaa fulani yenye Masela na Wauza Ngada Jijini na nikasema anajiamini nini wakati anajua fika kuwa ' anachukiwa ' na ' hapendwi ' kuna Mtu akaniambia huenda aliyemzaa akawa na Cheo cha Makamu Rais wa Wachawi wote katika Serikali ya ' Kilozi ' iliyo chini ya mwenyewe Rais Lucifer. Kuna Mtu ' amerogwa ' nae kiasi kwamba tusije hata tukashangaa Siku moja akaamua hata Kumpa ' Udeiwaka ' wa kuwa Mtawala Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuna Watu wanajua ' Kuroga ' jamani hapa Tanzania nyie acheni tu!
Mkuu waliosema alipata 0 hawakukosea,haya ndio matokeo yake!Mjinga anawaona wenzake ndio wajinga,shame!Watu wanaongelea mtu aliyepata mimba kuwa na nafasi ya kusoma na kusonga mbele. Yeye anaongelea kuhalalisha. Nani ameongelea kuhalalisha? Amekosa uelewa kiasi hicho?
Hivi kati ya yeye ambaye haelewa hata kinachojadiliwa na hawa wanaoongelea juu ya wasichana waliopata ujauzito kuendelea kuwa na haki ya kusoma, miongoni mwao, ni nani aliyebakiwa na akili za kuvalia nguo pekee?
Alternative pathway- Unajisomea privately mnakuwa mnakubaliana na mwalimu tu muda gani ni muafaka kwako. Na unaweza ukawa unasoma huku unanyonyesha hapohapo home. Ukishakuwa tayari kufanya mtihani unaenda kujiregister tu. Ndo maana wengine wanasoma form one hadi four kwa miaka miwili tu.Yaani awamu hii watu wanashindana sijabata ona .Kwani hiyo altenative path way sijui aliyosema Prof hao wanafunzi wangewaacha wapi watoto wao ,au watoto wangekuwa na uwezo wa ku hire house girl.Jamani RC nyamaza upepo upite ni busara pia
Hivi kuna mtu amehalalisha mimba mashuleni? Au na wewe umeamua kuhalisha kama wenzio?
Usimtetee! Mazingira wanayopitia watoto wa like walio wengi kwenda shule hasa hizi za kutwa siyo rafiki kwao na walio wengi walibakwa! Wanasiasa mnakwama wapi? Fanyeni tafiti juu ya mimba za wanafunzi hasa wa kike kabla hamjayafungua mabakuli yenu kupayuka kwa kusaka Kiki!
Una maana mmeshindwa kabisa kumroga na chuki yote mliyonayo kwake?Maagano ya majukumu yao yote yanategemea uchawi. Kinachofurahisha watu hawa J2 ni wa kwanza kabisa ni. Nikikumbuka ule mwimbo’anaekula mwili wa Bwana bila stahili anakula hukumu’ mbona wengi sana tutakua kuni huko jehanam.
Mganga wets hapangiwi na wala hajawahi kushindwa na shetaniUna maana mmeshindwa kabisa kumroga na chuki yote mliyonayo kwake?
Si kajaribuni wale wazee wa Zitto kule kigoma?
Haya twende kazi: Unadhani Manula anaangalia nini hapoUna ushahidi, au kwa vile upo nyuma ya keyboard tu?!
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ