Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

Sheria za kumfanya chechote zipo, ila haziwezi kufanya hivyo kama hakuna ushahidi

Wengi wa wanaomtuhumu huyo jamaa hawana ushahidi, bahati mbaya hata marekani wameingia kwenye mkumbo huohuo, wamesema wana ushahidi wa kutosha ila hawautoi ili utumike kumfanya chechote.
We nae, eti ushahidi. Kwa mahakama gani iliyo huru useme ushahidi ukitolewa haki itatendeka? Mahakama hizi hizi zilizo chini ya CCM? Just try and use your brain kidogo.
 
Kwani ZZK anataka watoto wa shule kupata mimba iwe ruksa na mtoto akitaka kurudi shule aendelee kusoma?
Sasa watoto wa kike shuleni wakiruhisiwa kupata mimba siwengi wataona ndo style ya shule alafu wawaachie mabibi vijijini kulea vichanga ? Hope ZZK should think again.
No, you should think again. And this time use your brain to think. You don't even understand the argument here, unaropokwa tu. Wapi Zitto amesema mimba zi halalishwe? Hivi mnaakili kweli nyie au ni uvivu wa kufikiri au ndio kukosa elimu bora? Who in their right mind can "halalisha mimba mashuleni"?. What normal people are fighting for here is for the girl child to be able to continue with education regardless of the situation. Why do you want to punish the child twice? Hii nchi jamani kiwango cha elimu kinahitaji kuangaliwa upya, yaani ukiangalia nchi za wenzetu, tena sio mbali Kenya na Uganda tu, hawana mijadala ya kipuuzi like this. Museveni alishapitisha law ya kuwaacha watoto waliopata mimba warudi shuleni tangu miaka ya 90s. Kenya wala hawanaga shida ya kipuuzi kama hii kwa vile wanaelewa umuhimu wa elimu kwa mtoto regardless. But come to TZ, here we are.... And mind you, the quality of our education is waaaay lower than of those two countries. Kila kitu kinajieleza nafikiri.
 
JifunZe kuwa na adabu kwa wakubwa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa Nani? Makonda au wewe? Mimi Sina mkubwa zaidi yangu mwenyewe kwani najipa huduma zote muhimu bila kumshirikisha yeyote! Wewe mwenye wakubwa zako ndio uwe na adabu na unyenyekevu kwa utegemezi uliokuwa nao! Nina taarifa unakula na kuvaa vya lumumba!
 
We nae, eti ushahidi. Kwa mahakama gani iliyo huru useme ushahidi ukitolewa haki itatendeka? Mahakama hizi hizi zilizo chini ya CCM? Just try and use your brain kidogo.
kwamba mahakama haziko huru?

mbona Lissu alikua anashinda kesi zake kila siku!

Unamfahamu Kambore? Kila siku anashinda kesi kwa mahakama hizi hizi

NB: kinachotakiwa ni ushahidi usio na shaka na si tuhuma za mange kasema.
 
Hahaha...!

Yaani Makonda anathubutu kumwambia Zitto Kabwe kuwa ana akili ya kuvalia nguo tu?

Aisee watu wanapaswa kujifunza Adabu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba mahakama haziko huru?

mbona Lissu alikua anashinda kesi zake kila siku!

Unamfahamu Kambore? Kila siku anashinda kesi kwa mahakama hizi hizi

NB: kinachotakiwa ni ushahidi usio na shaka na si tuhuma za mange kasema.
Na ndio mahakama hizo hizo zinazoshindwa kuamua haki for Kabendera, Tito etc.
 
Katika swala Zima la m toto wa kike kupata mimba akiwa bado mwanafunzi wa shule za chini, tunatakiwa kufanya maamuzi ya kutomruhusu kuendelea na shule baada ya kuangalia vigezo vingi kama ifuatavyo.
1. Je alibakwa?
2. Je maendeleo yake yakoje Darasani?
3. Je anarekodi ya tabia mbaya shuleni?
Sheria zinasema usimhukumu mtu bila kumsikiliza.
Kama mto to wa kike ana maendeleo mazuri darasani, hana tabia mbaya lakini alibakwa na kupewa mimba, sisi tunaomfukuza shule akili zetu zitakuwa hazitoshi hata kuvaa nguo. Tutakuwa watembea uchi.
Vipi yule alimtia mimba kama ni wanafunzi Mwenze aendelee kusoma? Haki iko wapi? Na kama ni raia wa kawaida hatua gani zinachukuliwa dhidi yake?

Je vipi kuhusu wànafnzi wa kike waliofanya ngono lakini hawakupata mimba au walitoa mimba tutawa treat vipi? Kosa ni kuzaa au nikufanya ngono?

Tusim-condemn mwanamke kwa vile ndiye aliyepewa Uterus kwa ajili ya kubebea mimba.
 
Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.

Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.

View attachment 1346418
This man is a Stupid pair Of buttocks

Sikio la kufa halisikii dawa wallah
 
Back
Top Bottom