imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PUMBAVU MAMA YAKO ALIYE KUZAA.. MBWA WEWE!
We mkorofi kweli kweli!Masoud amekipatia kibindankoye
Kama mimba inaambukizwa basi hata Zero inaambukizwa,na yeye azuiwe asisogelee watoto wanaosoma maana atawaambukiza zero!
Wewe ndiye mpumbavu ùnayedhani Tanzania kuna elimu bure. Kufuta mchango wa Tsh 20,000 siyo kufuta gharama ya elimu. Waulize waliosoma Msingi-Sekondari -Vyuo wakati wa Nyerere na Mwinyi 1970-1990 ndiyo wanajua elimu bure.
Duniani tunapita tu aisee!Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.
Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
View attachment 1346418
Bodaboda ndo chanzo cha mimba nyingi Sana vijijini anataka kusema nn.Wenye kuweza kumaliza bila mimba ni heri walioshindwa nao wasinyimwe haki ya elimu.Muhimu jamii itoe Sana elimu ya afya ya uzazi wasifichwe wafundishwe madhara ya mimba utotoni
True ukiangalia kwa mfano mkoa Wa kilomanjaro takwimu ni ndogo kwa sababu jamii ya kule kwanza ilipunguza distance ya mwanafunzi kusoma mbali wakajitolea kujenga mashule na mabweni plus kuwapa motisha za ziada walimu ili watumie mda mwingi wawe karibu na wanafunzi.Kama jamii ni jukumu letu tuwatatulie changamoto wanafunzi inawezakanaNi kweli kabisa!
Sababu kubwa ni ukosefu wa mabweni kwenye Shule .
Wanafunzi wanalazimika kutembea mwendo mrefu sana wakati wa kwenda na kurudi shuleni.
Usafiri hakuna.
Wazazi/walezi hawana uwezo wa kumfikisha mtoto Shule kwa usafiri wa familia.
Usafiri wa umma hakuna.
Watoto wakike wanapokuwa njiani wakati wa kwenda au wakati wa kurudi hulazimika kuingia ushawishi wa ngono kupitia lifti za waendesha pikipiki na hatimae kupata mimba kama si magonjwa.
Wanafunzi wa kiume wengi huamua kuacha masomo njiani akiwa form 1 au 2 wengi huamua kuacha masomo sababu ya tabu wanayoipata kwenda mwendo mrefu kwa miguu kwenda shuleni na kushinda na njaa [emoji108][emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaowapa wanafunzi mimba sijui Wana akili za wap?Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.
Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
View attachment 1346418
Ana matatizo ya hormones ila kama ana dada inaonekana sio mchezoChura![emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1346445
Kwa taarifa yake na pia nafikri pia anajua na anamifano hai kama si kutokana na uongozi wake basi kwenye mapito ya maisha! Wako wasichana wengi ambao wamepata mimba na wakarudi shule baada ya kujifungua sasa hivi wanawasomesha watoto wao na wanamaisha mazuri. Na wapo kama wanavyotaka wao hawakuweza kurudi shule lakini sasa hivi na single mothers wanahangaika na maisha.
Lengo la kuwakataza hao watoto ni nini? labda wametenda dhambi sasa adhabu ndio hiyo ya kuwanyima elimu? Ok, Mwisho wa siku unajenga taifa la wasomi au la wajinga? taifa la omba omba au la kujitegemea? Kuteleza siyo kuanguka waachani watoto wenye nafasi waendelee na shule mwisho wa siku wakajitegemee badala ya kuwa omba omba
Haaah hili dude limeibuka tena jaman,huu ulozi wa wazi kabisa sio kwa kujiamini hukoLeo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.
Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
View attachment 1346418