Hongera sana mama kwa mamuz yako sahihi, muaxhe mbowe abak na wake zake[/QUOT
In fact unafiki ni kiwango pekee cha mafanikio tuliyonayo,hebu karne ya 21 ule mpira wa jana wa stars umejifunza nini Mkuu?
Elimu ya kupiga kura haiwezi kuwaingia watu wakati Bunge lenyewe ni mali ya Jiwe anaamua atakacho wakati atakao,its more better wahame wote then ibakie ndio mzee.Namna hii sisi wapiga kura tutapata nguvu za kupiga kura? Maana huyu Gekul atachaguliwa tena kugombea CCM na atashinda na kama matokeo yanajulikana naenda kupiga kura ili iweje?
Poor Tanzania!!
Maana ya deadline ndiyo biashara yenyewe, kwani baada ya December wabunge au watu hawaruhusuwi kumuunga mkono Magufuli.Hivi unaelewa kwamba ikibaki mwaka kabla ya uchaguzi mkuu endapo kuna kiti kitakua wazi hakutafanyika uchaguzi mdogo?
Hujajibu Swali!!!Kama mzee Mapalala!
Sayansi nzuri itakuwa kutokomeza ukandamizaji ambao ccm wamekuwa wazoefu bila rewards.Hao CHADEMA maboya tuu. Upuuzi ulianza baada ya kumpokea Lowassa na genge lake. Pumbafu siasa ni sayansi.
Safi sana sana sana.Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Mawazo yako hupingwi na mtu, lkn hao hao walipata kura zaidi ya m6.Chadema hakuna mpinzani wa kweli pale.......labda yule Zitto wa ACT wazalendo!
Leo hiki kizungu cha ugoko hakitosaidia sana....This is crazy less care toward subconsious.
ujumbe hufika hata kwa picha sembuse maandishi.Leo hiki kizungu cha ugoko hakitosaidia sana.
Maandishi ya kilaza.ujumbe hufika hata kwa picha sembuse maandishi.
Sasa hizo kura 6m ni ccm walimpigia CCM mwenzao Lowassa!Mawazo yako hupingwi na mtu, lkn hao hao walipata kura zaidi ya m6.
Kuna idara ya mapambio wenyewe wanaona sawa tu they care less hawajui ni matumizi mabaya ya kodi.Kwa mambo haya ya kijinga yanayoendelea unaona aibu kuwa mtanzania. Huu ni upumbavu usiovumilika.
Navuta cheki kila kukicha,vipi mwenzetu.Maandishi ya kilaza.
Hata kama zilihesabika ni za upinzani.Sasa hizo kura 6m ni ccm walimpigia CCM mwenzao Lowassa!
Kwanini kisivunjwe na kuanza upya hadi sasa haijulikani lini mkuu wa huko naye atakuwa amehama kwa ridhaa yake au kwa bei. Nachelea kuamini kuwa kuna mtu huko wa kukabidhi nchiWacha waendelee kujichuja kwani tunahitaji makamanda wachache tu na umma mkubwa wa watanzania kuleta mabadiliko.