CHADEMA wanaweza kuwa wanafanya makosa makubwa kama watakuwa wanachukulia kuhama kwa wabunge watakuchukulia kama kupoteza wananchama wao jimboni.
In fact, mara wahamapo wabunge hawa juhudi jimboni zinatakiwa ziongezwe mara dufu hata kama hawatashiriki kwenye chaguzi ndogo zitakazofuata.
Kuimarisha chama ndani ya majimbo hayo yaliyoachwa ni muhimu sana. Hawa wabunge walipata ubunge kwa vile wananchi wa maeneo hayo waliikubali CHADEMA. Kuondoka kwa wabunge hao haimaanishi kutokubaliwa kwa CHADEMA.
Inaonekana umeumia sana. Waswahili wanasema saga chupa unywe.JAMANI HUU UMALAYA UTAISHA LINI HAPA TZ,siuseme tu umepewa millioni 50 pekee,yaani hio ndio thamani yako,unasema ulitoa hela za uchanguzi,je nani alikulazimisha,wewe sema ni njaaa tu ulikuwa nae,lakini sidhani kaa 50m zitakuondlea umasikini wako dada
Mbowe hawezi kuruhusu hilo kufanyika...Je, viongozi wanafanya jitihada zozote za kukabiliana na wimbi la wabunge kuhama?
..Kwa mfano Mh.Gekul amewatuhumu viongozi kutokuwa na msaada kujenga chama majimboni.
..Ni kweli wabunge wanashawishiwa. Lakini tutakuwa tunajidanganya tukiamini kwamba hakuna matatizo ndani ya CDM.
..Kwa maoni yangu CDM wanapaswa kufanya uchunguzi huru kubaini matatizo ya ndani ya chama.
Teh teh teh.....jitoe JF kama upendezwi na habari mwanana za humu.Mods hawa wakihama kwenda ccm msiwe mnaweka breaking news.
Mkuu mbona umesahau ama umelipotezea suala la kutwezwa kwa utu wa mtu? Gekul amesema kumekuwa na jitihada za kutweza utu wake!!!Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Simple like that!Kwani chama kilianza na mbunge, hata waondoke wote tena ndio wanapunguza impurities kwenye chama.
Mkuu siku nyingi huonekani humu!! Naona wanapigwa za pua!!Teh teh teh.....jitoe JF kama upendezwi na habari mwanana za humu.
Nadhani kuna matatizo makubwa ndani ya chama hicho zaidi ya tujuavyo.Ni kweli wabunge wanashawishiwa. Lakini tutakuwa tunajidanganya tukiamini kwamba hakuna matatizo ndani ya CDM.
..Kwa maoni yangu CDM wanapaswa kufanya uchunguzi huru kubaini matatizo ya ndani ya chama.
Amekimbia jitihada za kutweza utu wake!!!Tunamtakia kila la heri anapoanza maisha mapya na mwenza wake mpya.
Huyu mama leo ndio kaweka wazi mbivu na mbichi na mwenye masikio na asikie. Matatizo mengi likiwemo tatizo sugu la kutweza utu wa watu..Je, viongozi wanafanya jitihada zozote za kukabiliana na wimbi la wabunge kuhama?
..Kwa mfano Mh.Gekul amewatuhumu viongozi kutokuwa na msaada kujenga chama majimboni.
..Ni kweli wabunge wanashawishiwa. Lakini tutakuwa tunajidanganya tukiamini kwamba hakuna matatizo ndani ya CDM.
..Kwa maoni yangu CDM wanapaswa kufanya uchunguzi huru kubaini matatizo ya ndani ya chama.
Mkuu kuna siku ulijifanya kuandika kiswahili kama kigiriki ukijifanya hujui kiswahili, kumbe wewe Mswahili wa Gongo la Mboto!!!JAMANI HUU UMALAYA UTAISHA LINI HAPA TZ,siuseme tu umepewa millioni 50 pekee,yaani hio ndio thamani yako,unasema ulitoa hela za uchanguzi,je nani alikulazimisha,wewe sema ni njaaa tu ulikuwa nae,lakini sidhani kaa 50m zitakuondlea umasikini wako dada
Mkuu nifafanulie kidogo maana ya hilo neno 'kutweza'Amekimbia jitihada za kutweza utu wake!!!
Lina maana nyingi lakini kubwa ni kutoheshimu utu wa mtu! Na maana nyingine zilizojificha. Hili neno hutumika kita fisda zaidi.Mkuu nifafanulie kidogo maana ya hilo neno 'kutweza'
Maandishi ya kilaza.
Ni ujinga kulalamika na kupigania sheria zifatwe pale upinzani wanapoonewa lakini zisifatwe kwenye mambo mengine kisa zinafaidisha CCM. Chaguzi zinarudiwa kwasababu shEria inasema hivyo siyo kufurahisha watu Fulani. Mnapigania demokrasia wakati hata values za demokrasia hamzielewi wala kuziishi.
Nchi inahitaji chama kingine cha siasa kuikabili CCM na siyo CDM hii kazi imewashinda hamna uwezo wala uweledi.
Demokrasia tuliyoamua kuifuata ina gharama zake, ambazo inabidi tuzikubali; La sivyo inabidi tubadilishe katiba na kutengeneza mazingira mengine. Ni kweli hizi chaguzi za marudio ni gharama, lakini ni lazima tuelewe kuwa hayo ndiyo matakwa ya katiba.Upuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.