Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Naamini MTU huchaguliwa kwa Sera zake sio kwa kukipenda chama!
Hili ni jipya kwangu. Kwa hiyo hawa watu huuza sera zao na sio za chama? Kwa hiyo vyama vipo kwa kazi gani na kwa nini wanahamia chama kingine kama sera zao zinawawezesha kuchaguliwa?
 
Wananchi ndio waliwaweka wMevua chupi wamewasaliti sasa mwananci gani atataka rakataka ccm ni marehemu hawashindi hawatakiwi hawana mbinu ni upuuzi wao na lwao wamejimaliza
Wao wanasema CCM ni chama kikubwa. Wasipochaguliwa tena kama wabunge watapata uteuzi wa ukuu wa wilaya au cheo kingine chochote ndani ya CCM. Kwa hiyo mkono utaendelea kwenda mdomoni bila ya shida yoyote. Si hiyo ndio sababu kuu ya kutafuta uongozi kwa wanasiasa wetu siku hizi?
 
Mfano wako hauakisi uhalisia, na ni kweli chama ni imani inapofikia wakati unataka chama kifate imani ya kweli, na inapofikia wakati mzigo unaobebeshwa ni mkubwa wakati unajua njia ya mzigo huu ili uwe mwepesi kunauwezeshwaji wa ubebaji lkn hutumika ndivyo sivyo njia pekee ni kufata ile imani sahihi baada ya kujua kumbe imani uliyokuwepo sio ilivyopaswa kuwepo madhebahuni njia pekee ni hiyo ya kuifuata imani ya kweli
 
Nitaamini kitu kimoja tu kama huyu mbunge kweli hajahama kwa kuadiwa mshiko. Pale chama tawala watakapo muacha na kumuweka mgombania mwingine. Hiyo ni njia nzuri chama tawala kujisafisha kwamba haihusiki na kununua wabunge wa upinzani!
Akiachwa mshangilie?,gap lake hilo,anatoka huko anakuja hapa na kuchukua ubunge wake,huko si mnawakataza wasishirikiane na serikali?
 
Ni aibu sana kwa chama kikongwe kama ccm kugombania wanachama toka chadema ya juzi juzi.ccm ilitakiwa iwe na makada nguli wa siasa zenye,werevu na akili zenye kulisogeza taifa hili toka ujima hadi maendeleo ya kweli lakini imekua kinyume chake.badala ya vyama vichanga kugombea wanachama mahiri toka ccm,ccm ndo inayogombea wanachama toka vyama vichanga.Ni aibu sana baba kunyang"anya mwanamke wa kijana wake wakumzaa kisha watu wanaita demokrasia.Only in this tz.
 
Ni dhahiri, ukisoma comments zao, Chadema wamekata tamaa kabisa. Mwanchama utashangiliaje kuondokewa na mbunge kwa hoja hafifu kuwa wakiondoka wabunge chama kitabaki na wanachama imara! Chama kina uimara gani bila kuwa na wabunge? Hivi vyama vya Chausta, CCK, UMD, AFP au vinginevyo vya namna hiyo vina nguvu/uimara kiasi gani bila kuwakilishwa bungeni? These guys are either insane or political fanatics. Okoeni chama chenu kabla ya kuishia kuzimu mithiri ya PODEMO, PONA au CCD!
 
AM NOT HAPPY WITH THIS KIND OF POLITICIANS
 
Hadi sasa CCM imepokea malaya wangapi wa kike na wa kiume,
Ebwana nilifikiri utani, lakini kumbe mnapata taaabu sana kiukweli! Punguzeni kuwekeza sana hisia zenu kwenye siasa.
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.

Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
 
"Mwisho mwezi wa Desemba kuhamia ccm", naona wanawahi deadline.
 
mkuu huwezi nielewa lakini huwezi kuwa mpinzani wa kweli toka moyoni ukahamia ccm. hivi unajua tolfauti ya cccm na chadema au cuf? mwansiasa w kweli huamini katika chama na sio fursa.Ni bora mh mbunge angeujuzulu uanachama na kuacha siasa kuliko kujiunga na ccm.;huwezi kubadili itikadi kizembe hivo.
 
Duh! Kawahi kuchukua dau lake na kujiunga na CCM kabla December kama alivyoelekezwa na Polepole. How many more to follow before the deadline?
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.

Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
mkuu chadema haitakufa kwa wanasiasa wasiojitambua kuhama vyama kama wanabadili nguo za ndanii.kuhusu ruzuku kuliwa kote tu zinaliwa hata huko ccm ripoti ya CAG imebaini.
 
Duh! Kawahi kuchukua dau lake na kujiunga na CCM kabla December kama alivyoelekezwa na Polepole. How many more to follow before the deadline?
mkuu more will follow especially wafia tumbo.cha kushangaza unabadili vipi itikadi kama nguo? ukichunguza wnasiasa wetu wengi hutumia vyama kama sehemu ya kuvuna hela na si kutumikia nchi au umma.
 
mk
Akiachwa mshangilie?,gap lake hilo,anatoka huko anakuja hapa na kuchukua ubunge wake,huko si mnawakataza wasishirikiane na serikali?
mkuu tunaoumia ni sisi na sio hawa wanasiasa uchwara. mabilioni ya pesa yanapotea kurudia uchaguzi kumchagua tena mtu yuleyule aliyekuwa mbunge. hizo pesa ni bora zingepelekwa kusaidia wanafunzi wa elimu ya juu kwenye mikopo.
 
Kwa nini CHADEMA wasianze nao kuwanunua wabunge wa CCM? πŸ˜³πŸšΆπŸ‘€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…