Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Wewe Mtu Ni MNAFIKI hatari,una Roho mbaya,yooote haya kumbe Ni kutaka kupitishwa ugombee ubunge,kila siku unadanganya humu kuwa huna chama.
Ndio maana umepata kura 1.mnafiki mkubwa.
 
Mbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.
Kuna angalizo muhimu niliwahi kushauri Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Hivyo kinachomtokea mbunge huyu could be ni karma!.
P
 
Wewe jamaa una ndimi mbili....hii sio sifa nzuri kwa msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…