Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Hata huyu tuliyempa uzao kwa viuno vyetu? Aende tu pumbavu!
 
Aya; asante kwa taarifa.
 
Huyu amenunuliwa kufuta ule msemo wa Wanawake hawanunuliwi...Nadhani hata bei itakuwa juu kidogo kuliko wengine.

Maana hapo jinsia imezingatiwa.
Anaetarajia kuona maendeleo ya maana awamu hii,nampa pole.

Hii ni awamu ya ku-deal na matajiri,vyama vya upinzani na wakosoaji wengine kwa gharama yoyote na si kuleta unafuu wa maisha ya watu.
 
Nawasubiri Wote wanaotaka kuhama wamalize upuuzi wao halafu niwafundishe kilichomtoa kanga manyoya!
 
Anaetarajia kuona maendeleo ya maana awamu hii,nampa pole.

Hii ni awamu ya ku-deal na matajiri,vyama vya upinzani na wakosoaji wengine kwa gharama yoyote na si kuleta unafuu wa maisha ya watu.
Ni vizuri chama cha siasa kinachokuwa chaka la mafisadi kife.
 
Chadema huwa siwaelewi kabisa akihama Lowasa na Nyarandu kutoka CCM kwenda Chadema wanasema ni haki yao ya kidemokrasia ila wakihama wabunge wao kwenda CCM wanadai wamenunuliwa.
 

Naona wote wanawahi ' Polepole's Deadline ' ya December 2018 Saa 6 Kamili Usiku.
 
ilianza kama mzaha sasa imekuwa ni kawaida kwa Madiwani na Wabunge wa Vyama vya Upinzani wanahamia CCM na wengine kutaka Cheo hichohicho cha Udiwani au Ubunge bila kuhurumia gharama au hasara tunazoingia kama Taifa, huu ni Uzwalendo sio Uzalendo. Kuna haja ya hawa Madiwani au Wabunge wateule wawe wanapelekwa JKT hata kwa Miezi 2 kabla hawajaapishwa kuwa Madiwani au Wabunge.
 
Jamaani Gekul, na uzuri wote huo umeamua kuuza nafsi yako kwa shetani kisa Mungu hajajibu maombi yako?

Kweli njia ni pana iendayo motoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…