Huyo toka Jana ana ajenda yake, Mimi askari wa bongo siwapendiii! washenzi sana acha tu wafeRoho ikutetemeke tu hujaingia bado kwenye kumi na nane zao,polisi ni dhulumati sana sura siyo roho kumbuka hilo!
Kwa style hiyo unawapendaje sasa?!!!!Mkuu jana wametoka kumpiga dereva wangu wa daladala hapo banana bila sababu, eti wana haraka kwanini anasabisha foleni, walivyojibiwa kuna ajali, kuna gar zimepigana pasi, ndo wanashangaa wakati wameshamuumiza mkono hadi umevimba balalaa na kidonda juu. Wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo
Naomba wahusika wawaangalie watu kama wewe. Nadhani wewe ni mmojawapo wa magaidi yanayojificha ndani ya jAMIIfORUMS YAKICHAFUA JINA LA JAMIforums. Naomba JamiiForums itoe jina lakop nje ili ushughulikiwe kwa kutmia vibaya mtandao.Mimi nasikitika na kuumia sana kuwa Hamza ameua hawa polisi-CCM wachache sana,alipaswa kuua wengi zaidi.View attachment 1909802
Sio police wote Ni wabaya, wengi ni watu Safi tu na wanatekeleza majukumu yao vizuriPolisi ni polisi tu, hata akiwa ndugu yako sio mtu mzuri huyo, wamejaa dhulma na uonevu.
Apumzike kwa amani shujaa wetu Hamza, tuliobaki tutaendelea kuwapukutisha polisi mdogomdogo.
mmhKajificha kichwa tu, huku mata..ko na mkvndv wake viko nje. We mwache baada ya siku 3 hutomuona tena hapa jukwaani na haitohitajika mtu yoyote kuuliza kuhusu kupotea kwake.
Hamza ni mwanachama hai wa CHADEMA. Madini aliyodhulumiwa alipewa na Mbowe akamuuzie, ndipo police wakanusa. Kwa vile ilikuwa mali ya wizi, wakajichukulia kwa imani kuwa hakuna popote atakapoenda. Dhuluma imekutana na dhuluma, na waliyomnyang'anya sasa wanatesa na waliyokufa hawahusiki.Hamza kada wa ccm jana kawapa ccm wenzake msongo wa mawazo,hapo walipo ccm wamesahau jinsia zao[emoji16][emoji16]manina hamza katubeba
Dah mkuu comment yako imenitia huzuni ya faraja na kuzidi kunifundisha kuhusu maisha.Mtu hutakiwi kuua wala kuuliwa tuliletwa Duniani tuishi na watu vizuri, Maisha ni hadithi tu , tunatakiwa tuheshi na watu vizuri, tutangulize upendo tusifanyiane Mabaya ,kwani Maisha ya kuishi kwetu Duniani ni Mafupi sana. pia tuwe na Hofu na Mungu ndani yetu.
Inaonekana hawa vijana waliozaliwa mwaka 1991 wana hiyo tabia ya unyenyekevu,maana hata hamza aliwanyenyekea sana raia hakutaka kuwadhuru.Hata Hamza anazungumzwa vizuri na watu nae alikuwa kijana mtulivu na mnyenyekevu, kubwa zaidi alikuwa kada wa chama chetu
Haahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]So wmeandika alichokisimulia yule maza aliyeenda baharini kujisaidia
True jamaa amekopi....Haahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asee[emoji848][emoji16]
Yeye ndiye wa kwanza kuumizwa hadi aue hao askari? Ingekuwa ni hivyo basi kila anayeumizwa angekuwa anaua na kungekuwa na mauaji kila siku. Hajafanya vizuri kuua hao askari wasiokuwa na hatia yeyote.Hamza aliumizwa na huu ndo ukweli
Aiseeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mimi afande OCS CID wa Kizuiani mbwaa yule anaitwa Hawa,natamani afe au adhalilishwe km kina askari anapita hapa na kusoma ampe ujumbe wake amuambie namchukiaaaaa..na namlaani na mkorogo wake mtu mzima hovyoo mwanamke ana roho mbaya sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
duuu.... wamemfuata...... "WE DEREVA! unasababisha foleni, puuuuu, konde, ndoo, frankiki, kipepsi, kifuti, tanganyika jeki, kakaza, kata, funua, buruza, tupa kule..."JembeKillo, Mkuu jana wametoka kumpiga dereva wangu wa daladala hapo banana bila sababu, eti wana haraka kwanini anasabisha foleni, walivyojibiwa kuna ajali, kuna gar zimepigana pasi, ndo wanashangaa wakati wameshamuumiza mkono hadi umevimba balalaa na kidonda juu. Wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo
Unashambuliaje huku umetenguliwa bega au kiuno😅Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako...
Hii habari kama haijapikwa... basi kama ni kweli... ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia.... wadau wanasema kaacha dona kizembe sana....
Hizo nguvu za kukimbia ni bora angejihami, mbinu bora ya kujilinda ni kushambulia... any way RIP wazee, acheni tamaa...
Wana kiburi wakiwa na zile SMG tu ila wakiwa mikono mitupu hawana jipya😅 ni kisago tu mpaka wanaomba POO!Askari wa bongo waoga sana, basi tu wanajua kuonea raia..
Pili niliona hata ulengaji wao wa shabaha ni wa mashaka sana.. jamaa alitoka wazi kweupe kabisa bila kizuizi ila ilichukua zaidi ya dakika mbili kwa risasi za askari kumpata, na milio iliyosikika ni zaidi ya risasi 50 zilipotea.
Polisi wetu hawana weledi. Humbleness ni key ingredient ya mwana usalama sababu wale ni law enforcement agents!Acheni kutetea uovu!
Kuweni waungwana!
Mauaji siyo jambo la kushabikia hata kidogo!
RIP policemen