PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.

Uzi tayari
 
1.3 huyo mwingine ana option nyingi za maisha, either aendelee kusoma au atafte kazi.

Huyu wa form 6 bado anajitafta.

By the way vyuo vingi wanafanya hivi; Kama Kuna nafasi 100, 30% inaenda kwa Diploma the rest 70% wanapewa wale fresh from advance.
 
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.

Uzi tayari
utamchaguaje mtu ambae anaweza kupata ajira kwa iyo level ya diploma apo mm namchagua form six1.3
 
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.

Uzi tayari
Wanadahiliwa tofauti, zipo nafasi kwa ajili ya freshers na nafasi kwa ajili ya waliotoka diploma.
 
Mpaka kuamua kumuweka hapo wa kwanza huyo mwenye 1.3 PCB maana yake hata wewe unaelewa kabisa kuwa huyo ni mtu mwingine kabisa.
Hivi unaijua gpa 5 ya diploma ya clinical officer?..hiyo ni highest pass mark
 
Alieuliza hili swali kichwani ana ubongo kweli?
 
Huwezi kuwashindanisha Hawa, Mmoja ana cheti Cha taaluma, mwingine ana cheti Cha shule tu. Hakutakuwa fair. Hapo nitamchukua mwenye One ya PCB... Naelewa mziki wake
 
Kama ni kwenda kufanya kazi wa diploma yuko vizuri huyu wa six ni kama hajui chochote. Ila kuyamudu masomo ya degree ya medicine huyu wa A level yuko vizuri
Kwani hiyo diploma siyo masomo ya medicine!?..na kapiga GPA 5, unajua maana ya gpa ya 5!?..hakuna kupata B+ hapo,ni A tu kwa masomo zaidi ya 15
 
Back
Top Bottom