PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

Namchukua mtu competent baada ya interview
hivi ku apply chuo kuna interview? kwani ni kuomba kazi?
Ninachojua kuingia vyuoni hakuna longo longo za interview na siasa nyingi marks zako basi.
Kama nimekosea nirekebisheni maana mimi nimesoma PCB Nikamaliza miaka 40 iliyopita wengi wanaouliza na ku comment hapa ni wanetu.
 
Hivi unaijua gpa 5 ya diploma ya clinical officer?..hiyo ni highest pass mark
Usually diploma wanaenda waliokosa sifa za F5 direct. Wa PCB kaingia 5 direct then kapasua the highest in his/her branch unadhani kati ya hao wawili yupi yuko vizuri zaidi?

Inahitaji maelezo ya ziada kweli? Simple reasoning!
 
Kuna watu huamua kwenda diploma wapate ajira chapu kisha kujiendeleza baadae badala ya kwenda kupoteza muda a level
 
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.

Uzi tayari
Namchukua mwenye Diploma ya 5.0
 
Kuna watu huamua kwenda diploma wapate ajira chapu kisha kujiendeleza baadae badala ya kwenda kupoteza muda a level
Wenye akili hawajibu kwa mihemko na hisia wanajibu kwa fact na mifano yakinifu hapo nikiwa km AO namchukua mwenye Diploma ya 5.0
 
Huwezi kuwashindanisha Hawa, Mmoja ana cheti Cha taaluma, mwingine ana cheti Cha shule tu. Hakutakuwa fair. Hapo nitamchukua mwenye One ya PCB... Naelewa mziki wake
Ushakula Mkasi na Fimbo juu
 
Wenye akili hawajibu kwa mihemko na hisia wanajibu kwa fact na mifano yakinifu hapo nikiwa km AO namchukua mwenye Diploma ya 5.0
Kabisa,umuache mtu anayeweza kutibu na kapata GPA 5 ukachukue dogo anajua kupasua mende tu!!
 
Umeulizwa admission ya chuo kusoma MD pale MUHAS.

Hujaulizwa nafasi ya kazi MD, wote hao hakuna mwenye sifa ya kuitwa MD na watatumia mchakato sawa ili wawe MD.

Clinical Officer sio Medical Doctor.
 
Umeulizwa admission ya chuo kusoma MD pale MUHAS.

Hujaulizwa nafasi ya kazi MD, wote hao hakuna mwenye sifa ya kuitwa MD na watatumia mchakato sawa ili wawe MD.

Clinical Officer sio Medical Doctor.
Clinical officer si ndiyo wametutibu hospital za wilaya tangu 1970s mpaka leo!?..na husoma miaka mitatu tu hiyo MD wakiamua kujiendeleza
 
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.

Uzi tayari

Kwanza kwa vyuo vyote vya medicine nafasi za wanafunzi wa kidato cha sita na wale wenye diploma haziingiliana, kila kundi lina nafasi yake na vigezo vyao kama ufaulu wa division na GPA mtawalia.

Mfano utakuta huko Muhimbili nafasi ya MD kwa wanafunzi wa kidato cha sita ziko 100 na kwa clinical officers (wenye diploma) ni 50.

Kwa hiyo hakuna popote pale watakaposhindania kupata nafasi ya admission. Diploma (clinical officers) wanashindanishwa wenyewe na kidato cha sita wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom