PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

Huyo diploma alifeli, hakufikisha alama za kupiga MD, akaenda Diploma ili apatae alama. Hapo anachukuliwa huyo kipanga wa 1 ya 3.
 
Nachukuwa wa GpA 5.0 uyo wa advance ataply next ya. Fa mchezo nin stress za mapenzi na maisha uko diploma na unapasua 5 basi yupo siriasi
 
GPA 5 md zinahesabika,na wapo wengi tu wenye pcb 1.3 na walifeli MD,walipata chini ya 4.5 gpa,acha kujidanganga,physics na chemistry hazina uhusiano wowote na md
Wapi imetajwa GPA 5.0 ya MD?

Umeambiw CO
 
Form 6 ni elimu bandia....ni ya kufutwa...nchi zingine hawana huu ugoro....diploma ni unasoma practical kwenye field husika ....sio paper skills....dunia inataka vitendo
Usually diploma wanaenda waliokosa sifa za F5 direct. Wa PCB kaingia 5 direct then kapasua the highest in his/her branch unadhani kati ya hao wawili yupi yuko vizuri zaidi?

Inahitaji maelezo ya ziada kweli? Simple reasoning!
 
Kabisa,umuache mtu anayeweza kutibu na kapata GPA 5 ukachukue dogo anajua kupasua mende tu!!
Huyo diploma akapambane, form 6 anachukuliwa..
Halafu nafas za diploma huwa zinabanwa sana course ikiwa na competition
 
Namchuka PCB aje apige shule... Wa diploma tayari anaskills aanze mapambano ya maisha
Wewe lazima utakuwa HR. Hilo ndilo jibu sahihi. Hii ni resource tayari kwa matumizi. Peleka hiyo PCB ikatengenezwe.
 
Back
Top Bottom