Fact mkuuGPA 5 diploma,ana elimu tayari ya md,huyo pcb anajua nini zaidi ya kupasua panya,chura,mende?
Mtu mwenye uwezo wa kupata 1:3 gpa ana uwezo wa kupata gpa 5. Mtu mwenye uwezo wa kupata gpa 5 sio lazima awe na uwezo wa kupata 1:3 pcbKwani hiyo diploma siyo masomo ya medicine!?..na kapiga GPA 5, unajua maana ya gpa ya 5!?..hakuna kupata B+ hapo,ni A tu kwa masomo zaidi ya 15
GPA 5 md zinahesabika,na wapo wengi tu wenye pcb 1.3 na walifeli MD,walipata chini ya 4.5 gpa,acha kujidanganga,physics na chemistry hazina uhusiano wowote na mdMtu mwenye uwezo wa kupata 1:3 gpa ana uwezo wa kupata gpa 5. Mtu mwenye uwezo wa kupata gpa 5 sio lazima awe na uwezo wa kupata 1:3 pcb
GPA 5 md zinahesabika,na wapo wengi tu wenye pcb 1.3 na walifeli MD,walipata chini ya 4.5 gpa,acha kujidanganga,physics na chemistry hazina uhusiano wowote na mdimi Akili yenye uwezo wa kupata A physics,A chemistry inawezahimili masomo sana
Diploma wakienda huko hawafeliMtizamo wangu!
Wasingepaswa kusoma pamoja.
Wa Diploma wangekuwa na mfumo wao tofauti,angalalo miaka ipunguzwe kwakuwa kuna course ameshazipitia.
Kichwa kilichofaulu Physics na chemistry KWA A you kinauwezo wa kufaulu karibu kila jambo jipya la kimasomo yenye nadharia nyingiGPA 5 md zinahesabika,na wapo wengi tu wenye pcb 1.3 na walifeli MD,walipata chini ya 4.5 gpa,acha kujidanganga,physics na chemistry hazina uhusiano wowote na md
Gpa 5 ni chache KWA vile one vipanga hawaendagi sana hukoGPA 5 md zinahesabika,na wapo wengi tu wenye pcb 1.3 na walifeli MD,walipata chini ya 4.5 gpa,acha kujidanganga,physics na chemistry hazina uhusiano wowote na md
Hizo GPA zisikutishe kabisa Kuna chuo kimoja cha Afya huko visiwani Zanzibar mtihani Yao ya mwisho haitungwi na Nacte Bali na walimu wanaowafundisha na matokeo Yao ya mwisho yanayoonekana kwenye cheti yanaanzia mwaka wa tatu yaani wa mwisho matokeo yake watu kabla hawajaingia kwenye mtihani wanakuwa washapewa paper mwisho ubaoni unakuta GPA za 5 za kumwaga ila PCB ni mchakato kuipata 1 kama hauko vizuri kichwani hata upewe mvujo hutoboiNaomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari
Namaanisha wapunguziwe muda wa masomo,au waondolewe baadhi ya course,kwakuwa wameshayapitia diploma.Diploma wakienda huko hawafeli
Naondoka Na 1.3 ya PCB (Physics, Chemistry, Biology).Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari
MD muhimbili nafikiri mwisho 1.6,na hawapati gpa ya 5Gpa 5 ni chache KWA vile one vipanga hawaendagi sana huko
Sasa wewe unaongelea gpa ya 5 KWA md degree. Nimesema mtu aliyeenda A level akapata 1:3 pcb ,mtu huyu kama angeenda diploma angekuwa na nafasi kubwa sana ya pia kupata gpa 5 diploma . Kuliko yule aliyeamua swali kwenda diploma akapata gpa5 diploma,kama angeenda A level ,yeye uwezekano wa kupata 1:3 pcb ungekuwa mdogoMD muhimbili nafikiri mwisho 1.6,na hawapati gpa ya 5
Watu huenda diploma KWA akili yaMD muhimbili nafikiri mwisho 1.6,na hawapati gpa ya 5
Inategemea na kozi babu,watu wamesoma chuo cha afya kibaha na wanakufanyia operation vizuri tuWatu huenda diploma KWA akili ya
1) urahisi wa ajira pindi wakimaliza diploma.
2) urahisi wa masomo kulinganisha na A level
Wapo wengi na one zao huko advanced diploma na wanafundishwa na watu wenye 3 a level,mambo hayapo hivyo,labda kama hukufika chuoSasa wewe unaongelea gpa ya 5 KWA md degree. Nimesema mtu aliyeenda A level akapata 1:3 pcb ,mtu huyu kama angeenda diploma angekuwa na nafasi kubwa sana ya pia kupata gpa 5 diploma . Kuliko yule aliyeamua swali kwenda diploma akapata gpa5 diploma,kama angeenda A level ,yeye uwezekano wa kupata 1:3 pcb ungekuwa mdogo
Mwenye GPA ya 5, utaangalia na chuo chake , kama ni Vyuo vya private, PIGA CHINI MARA MOJA.Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari