Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Wadiploma si anauzoefu na kafaulu vzuri tu1:3 PCB ana uhakika wa kufaulu huko Muhimbili KWA marks kubwa
utamchaguaje mtu ambae anaweza kupata ajira kwa iyo level ya diploma apo mm namchagua form six1.3Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari
Wanadahiliwa tofauti, zipo nafasi kwa ajili ya freshers na nafasi kwa ajili ya waliotoka diploma.Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari
Kwa mfano huu interview yako ita base kwenye maswali gani?Namchukua mtu competent baada ya interview
Pia GPA ya 5.0 mfano kutoka chuo kama Muhimbili si mchezo.Usilinganishe 1 ya PCB na kitu chochote toka diploma,
GPA 5 diploma,ana elimu tayari ya md,huyo pcb anajua nini zaidi ya kupasua panya,chura,mende?1:3 PCB ana uhakika wa kufaulu huko Muhimbili KWA marks kubwa
Hivi unaijua gpa 5 ya diploma ya clinical officer?..hiyo ni highest pass markMpaka kuamua kumuweka hapo wa kwanza huyo mwenye 1.3 PCB maana yake hata wewe unaelewa kabisa kuwa huyo ni mtu mwingine kabisa.
Kupasua panya chura mende!?Usilinganishe 1 ya PCB na kitu chochote toka diploma,
Kama ni kwenda kufanya kazi wa diploma yuko vizuri huyu wa six ni kama hajui chochote. Ila kuyamudu masomo ya degree ya medicine huyu wa A level yuko vizuriGPA 5 diploma,ana elimu tayari ya md,huyo pcb anajua nini zaidi ya kupasua panya,chura,mende?
Kwani hiyo diploma siyo masomo ya medicine!?..na kapiga GPA 5, unajua maana ya gpa ya 5!?..hakuna kupata B+ hapo,ni A tu kwa masomo zaidi ya 15Kama ni kwenda kufanya kazi wa diploma yuko vizuri huyu wa six ni kama hajui chochote. Ila kuyamudu masomo ya degree ya medicine huyu wa A level yuko vizuri