Kwa GPA ya 5 Diploma Muhas sio Mchezo. Maana kutakuwa na uwezekano mkubwa wa huyu mtu kupata Highest GPA kwenye MD na kuja kuwa Daktari mzuri.Kwahiyo utamchukua CO akawe MD si ndio unamaanisha.
Wapi imetajwa GPA 5.0 ya MD?GPA 5 md zinahesabika,na wapo wengi tu wenye pcb 1.3 na walifeli MD,walipata chini ya 4.5 gpa,acha kujidanganga,physics na chemistry hazina uhusiano wowote na md
Usually diploma wanaenda waliokosa sifa za F5 direct. Wa PCB kaingia 5 direct then kapasua the highest in his/her branch unadhani kati ya hao wawili yupi yuko vizuri zaidi?
Inahitaji maelezo ya ziada kweli? Simple reasoning!
Huyo diploma akapambane, form 6 anachukuliwa..Kabisa,umuache mtu anayeweza kutibu na kapata GPA 5 ukachukue dogo anajua kupasua mende tu!!
Wewe lazima utakuwa HR. Hilo ndilo jibu sahihi. Hii ni resource tayari kwa matumizi. Peleka hiyo PCB ikatengenezwe.Namchuka PCB aje apige shule... Wa diploma tayari anaskills aanze mapambano ya maisha
Wapo wengi na one zao huko advanced diploma na wanafundishwa na watu wenye 3 a level,mambo hayapo hivyo,labda kama hukufika chuo