GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Assume hapo CHADEMA chama kubwa lingeshiriki Uchaguzi ukawa wa haki kama kipindi cha nyuma Kuna watu wangezalishwa na vijiko badala ya mikasi
 
Wewe ni mpumbavu,
Nimesema kuna baadhi ya sehemu.
Mathalani majimbo yote ya Uchagani, uhayani, mbeya, kigoma nk huwez kushinda kama sio mzawa.
Kwa akili yako Arusha ni Uchagani
Endelea kujifariji, hamna hiyo jeuri kijana.

Kote huko ulikotaja yeyote anaweza kua mgombea na akashinda vizuri tu. Kuwaweka hao wa kabila moja ni kuweka mzani sawa tu ila sio kua hamna anaeweza kupita kama sio wa huko.

Mfano ni huyo Makonda aliebezwa na watu wa Arusha wengi, kisa sio wa huko ila ndo huyo anapeta, so mpaka hapo yeyote anaweza gombea popote nchi hii. Usikariri na huo ukabila wako wa kishamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…