GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbunge wa Rungwe anayetetea nafasi ya Ubunge Antony Mwantona awagaragaza Sophia Mwakagenda ambaye ni Covid pamoja na Richard Kasesela.
 
Vp majimbo ya mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mwanza, kwa ujumla matokeo kanda ya ziwa yamechelewa sana kuwa shared. Mwenye updates please weka matokeo hapa.
 
Wewe ni mpumbavu,
Nimesema kuna baadhi ya sehemu.
Mathalani majimbo yote ya Uchagani, uhayani, mbeya, kigoma nk huwez kushinda kama sio mzawa.
Kwa akili yako Arusha ni Uchagani
Mkuu ni kweli, kwa mfano Kyela na Tukuyu/Rungwe ni ngumu kushinda wakuja maana kuna mtu ananadi kampeni kwa kinyakyusa yaani unaona kabisa kuna ukabila hapa...

japo nimeondoka kule miaka mingi lakini wanyakyusa mambo kama ya Arusha utoke huko uchukue jimbo ni ngumu...... nina clips hapa za uchaguzi wa Rungwe na Kyela yaani ni kinyakyusa watu hawajui kama kuna kiswahili.
 
Toeni updates
 
Wajumbe wamesepa na Kigwa
 

Attachments

  • 45a84f9638ed8b4f4a7c0e98e46db488.mp4
    1.8 MB
Ni lini wataondoa initial za Ndugu na kuweka Mheshimiwa?
 
Sasa uchaguzi upo pale pale na hakuna Mbulula yeyote wa kuuzuuia na Chadema inakwenda kupotea mazima.
Kama za uchaguzi wa mitaa mwaja jama ziliibiwa vile hadi watu wanne wa chadema wakafa, unategemea za ubunge zitakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…