Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC , ametumbuliwa kwenye Ukuu wa Mkoa wa Mwanza
Sasa swali letu ni hili , Pedeshee Makalla ambaye alitumia Juhudi binafsi na kumualika Diamond Platnum ili kuvuruga Mkutano wa Chadema viwanja vya Furahisha huko Mwanza kwa kuweka tamasha la bure , kwanini hana Bahati na vyeo vya ccm ? Mbona anatolewa mara kwa mara ? ina maana viongozi wake hawaoni Juhudi anazozifanya za kudhibiti Chadema baada ya kushiriki hata kumfunga Sugu Mbeya ?