Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

Sasa swali letu ni hili , Pedeshee Makalla ambaye alitumia Juhudi binafsi na kumualika Diamond Platnum ili kuvuruga Mkutano wa Chadema viwanja vya Furahisha huko Mwanza kwa kuweka tamasha la bure , kwanini hana Bahati na vyeo vya ccm ? Mbona anatolewa mara kwa mara ? ina maana viongozi wake hawaoni Juhudi anazozifanya za kudhibiti Chadema baada ya kushiriki hata kumfunga Sugu Mbeya ?
Kwani ukimtazama kwa macho tu unaona kama zinamtosha kichwani!!! Narudia ukimtazama kwa macho tu, bado hujamchukua sampuli na kupeleka maabara unaona kama ana jipya?

Hivi hiyo gharama aliyotumia kumualika Diamond angeipeleka kwa wenye uhitaji si ingesaidia kuondoa changamoto za hao watu?
 
Back
Top Bottom