Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Kwani hajatenguliwa ?Waswahili wanasema Usinene ukamara!!!Ungesubiria japo week ndio uandike huu uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hajatenguliwa ?Waswahili wanasema Usinene ukamara!!!Ungesubiria japo week ndio uandike huu uzi.
Huwa kichwani hamna kitu zaidi ya uchawa usio na tija, akalime huko mvomero na kuimbwa imbwa kwenye mizikiMfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC , ametumbuliwa kwenye Ukuu wa Mkoa wa Mwanza
Sasa swali letu ni hili , Pedeshee Makalla ambaye alitumia Juhudi binafsi na kumualika Diamond Platnum ili kuvuruga Mkutano wa Chadema viwanja vya Furahisha huko Mwanza kwa kuweka tamasha la bure , kwanini hana Bahati na vyeo vya ccm ? Mbona anatolewa mara kwa mara ? ina maana viongozi wake hawaoni Juhudi anazozifanya za kudhibiti Chadema baada ya kushiriki hata kumfunga Sugu Mbeya ?
Ana kipi ?Anarudi kushika nyadhfa CCM.
kifupi CCM wanajipanga kupiga magoli halali ya vichwa na sio magoli ya mkono.
mpuuzieni yule hana jipya.sawa Kamanda?Ana kipi ?
Unaposema aliiweza, una maanisha nini!?Mwanza alie iweza ni Abasi kandoro tu R.I.P
Sasa Makala ana kipi kipya na cha ajabu! Kuwa chawa wa JK!? Au kukariri kilingala na kuimba nyimbo za kicongo!? Au kudokoa fedha za chama enzi zile bwana fedha!?mpuuzieni yule hana jipya.sawa Kamanda?
nani kakwambia wenye nchi huwa wanateuwa wenye kitu kipya,,?.Sasa Makala ana kipi kipya na cha ajabu! Kuwa chawa wa JK!? Au kukariri kilingala na kuimba nyimbo za kicongo!? Au kudokoa fedha za chama enzi zile bwana fedha!?
uwezo wake ni mdogo sana kufanya kaziMfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC , ametumbuliwa kwenye Ukuu wa Mkoa wa Mwanza
Sasa swali letu ni hili , Pedeshee Makalla ambaye alitumia Juhudi binafsi na kumualika Diamond Platnum ili kuvuruga Mkutano wa Chadema viwanja vya Furahisha huko Mwanza kwa kuweka tamasha la bure , kwanini hana Bahati na vyeo vya ccm ? Mbona anatolewa mara kwa mara ? ina maana viongozi wake hawaoni Juhudi anazozifanya za kudhibiti Chadema baada ya kushiriki hata kumfunga Sugu Mbeya ?
😆😆😆😆😆😆Bana lunda baba Kin bilenge bilenge ukiihujumu Chadema utakumbwa na Mikosi mbaka bukimbilie Muburundi
Alipiga vita maji ya virobaUnaposema aliiweza, una maanisha nini!?
Aliyeleta habari za hana kipya, ni wewe sio Mimi. Na ndio maana nimekuuliza.nani kakwambia wenye nchi huwa wanateuwa wenye kitu kipya,,?.
nikampa majibu ya mdharau mwiba mguu huota tende👇Ana kipi ?
mpuuzieni yule hana jipya.sawa Kamanda?
Aliyeleta habari za hana kipya, ni wewe sio Mimi. Na ndio maana nimekuuliza.
Kwa kuteuliwa hajambo lakini baada ya muda anang'olewa .Baba Gabriel anaenda kuwa mwenezi soon
Ana kimaviMfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC , ametumbuliwa kwenye Ukuu wa Mkoa wa Mwanza