Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

Wapi Papaa Amos Makalla, mutu ya watu! Mutu yenye pesa mingi! Hii Papaa Amos, ndiye itakuwa Katibu yenu muenezi mupya kabisa ndani ya chama. Na kama kuna mutu haiamini, basi imuulize Papaa Jei Kei, rais ya dunia.
 
Kiukweli hata Mimi Huwa sielewi japo Kwa kumtuzama Nje Huwa anafanya kazi vizuri.

Mwisho Kila mtu na alivyozaliwa hapa Duniani, wengine Wana damu za kunguni.
 
Anaenda kuwa katibu mwenezi wa CCM soon. Siku zote mtu akitenguliwa inaishia hapo ila huyu wamesema atapangiwa kazi nyingine unajuwa nini kinakuja.
 
Wapi Papaa Amos Makalla, mutu ya watu! Mutu yenye pesa mingi! Hii Papaa Amos, ndiye itakuwa Katibu yenu muenezi mupya kabisa ndani ya chama. Na kama kuna mutu haiamini, basi imuulize Papaa Jei Kei, rais ya dunia.
Makonda kashika sharubu za Don JK kwenda kumpiga biti business partner wako mdogo wa GSM. Siku 2 tu kapigwa demotion🤣🤣🤣🤣.

JK ndio Kingmaker wa hii nchi. Akikata moto kina Nape watelia vilio vya mbwa mdomo juu.
 
Hamna watu wengine ? mnazungusha wale wale
John Mrema ana muda gani pale? Benson Kigaila? Mbowe?

Yaani John Mrema wakati wa krismas wachaga wenzake wanaenda na magari ya kisasa, kenta za bia na mbuzi, yeye anaenda na makoti ya chadema na ilani kwenye mifuko ya lambo, na kiatu imekula tope za msimu wa mvua
 
Ni hivi , Makala kapigwa chini , labda akasimamie mashamba ya mananasi ya Rafiki yake JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…