Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

Kwani ukimtazama kwa macho tu unaona kama zinamtosha kichwani!!! Narudia ukimtazama kwa macho tu, bado hujamchukua sampuli na kupeleka maabara unaona kama ana jipya?

Hivi hiyo gharama aliyotumia kumualika Diamond angeipeleka kwa wenye uhitaji si ingesaidia kuondoa changamoto za hao watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…