Pendekeza tozo nyingine Serikali ya Samia iichukue

Kwenye nauli za vyombo vyote vya usafiri...
Tukiweka tozo hapo itapendeza sana...
 
"Nilisema wakati ule na narudia tena, anayeona ananyanyaswa ahamie Burundi"

Kumbe licha ya yale malalamiko kuhu hiyo kauli yake jamaa hakujifunza chochote.

Sasa naona watanzania tumefikia kiwango cha mwisho cha kudharauliwa na hawa jamaa.
 
hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! dhubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Seriakali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.
Maendeleo gani unayoyazungumzia? Hizo pesa tunakamuliwa sisi wanyonge zinatumbuliwa na wakubwa huko juu.
 
Tozo za ufugaji mifugo kila ngo'mbe 1000 Kwa mwaka , kila mbuzi,kondoo na nguruwwe 500 nk. Tozo za upangajini
 
hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! dhubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Seriakali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.
Hakuna mtu anayekataa kulipa kodi ila hiyo kodi inamsaidiaje mlipaji?
Je huduma za kijamii zipo vizuri?
Malengo na maendeleo yanafanyika nchini kwa asilimia 90 ?
Ubadhilifu na rushwa unachunguzwa na kupunguzwa?
Utitiri wa viongozi wasiona msaada kwa nchi na magari ya gharama je vinaangaliwa?
Hatujawahi kuwa serious na maisha ya wananchi wa kawaida


Sent from my CLT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu wanaoishi mijini wanafaidika zaidi na maendeleo kuliko wanaoishi vijijini( ambao ndio wazalishaji wakubwa), kuwe na Tozo ya kuingia na kuishi mjini... Alafu tuweke Tozo za wanaotembelea na kuogelea kwenye fukwe zote ...Tozo ya kuogelea ....kiwanja Cha mpira ni kimoja TU chenye hadhi na wanafaidika zaidi ni wa darslam walipe Tozo ya kwa MKapa
 
Wewe hamia Burundi Acha blaa blaa za kijinga,hakuna mjomba wa kukuletea wewe maendeleo..

Safi Sana Mwigulu shikilia hapo hapo.
 
Ongeza tozo ya Kujisikia kufanya moja kati ya hayo a) hadi f)
 
Tozo ya pumzi ndio imekaa poa zaidi

Wengine wameshauri tozo ya kichwa ila kwa maoni yangu hiyo tozo haitakusanya fedha nyingi kulingana na watanzania wengi kuwa vichwa maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…