Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Nyie ndo mlikuwa mnalilia Bando! Hivi Abbas naelimu yake anaweza kukaidi agizo la Rais? Watanzani tusiwe tunakurupuka kwenye kuongea tu.

Kwa jana ningeelewa pengine Abbas alikurupuka,lakini kwa Msigwa kufafanua tena leo na bado mtu akawa hataki kuamini inafikirisha sana.
 
Huyu jamaa hana ubongo kabisa, haamini alichosema Msigwa, Ila anataka uthibitisho wa barua ya msigwa.
Hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Habari tulimpinga ndio awe huyu wa Habari maelezo ?
 
'Comical' Abbas katika ubora wake!

Bila shaka kuna kundi maalum nyuma yake, yeye pekee hana ujasiri huo.

Lakini pia tusisahau ubovu wa agizo alilotoa Rais Samia.

Kuna sheria (hata kama ni sheria mbovu) iliyovifungia vyombo hivyo.

Je, agizo la rais liwe juu ya sheria hizo?

Nadhani Abbas na genge lake wanatumia mwanya huo, kudharau agizo la Samia.
 

Sasa hawa tamko lao lina athari gani? Yani Tamko la Balile ambae ni muhanga ndilo unaleta hapa kupinga ufafanuzi wa Msemaji wa Serikali,ningekuelewa ungeleta Tamko kutoka Serikalini likipinga kile alichokifafanua Msigwa. Kina Balile waendelee kuishi kwa Matumaini kwa sasa.
 
Hivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?

Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Huyo hata ungempa nusu kazi; akili yake ndivyo ilivyo hivyo.

Sijapata msikia hata siku moja akiongea jambo la maana hata siku moja.
 
Hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Habari tulimpinga ndio awe huyu wa Habari maelezo ?

Ulivyompinga halafu ikawaje? Akatengua kauli yake,Mkuu acha kujipa nguvu ambazo huna,wewe paaza sauti yako hapa,wakati wao wanatenda. Hujasikia BBC Dira ya Dunia jioni hii? Nenda basi kwa Kigogo unaemwini walau ukasome huko pengine utaelewa.
View attachment 1746089
 
Mimi ni mtu huru sitegemei kigogo
 
Mimi ni mtu huru sitegemei kigogo

Wewe si bingwa wa kuleta hapa reference za Kigogo. Anyway bado una la kusema? Umemsikia Bashungwa, waambie kina Balile,Tanzania Daima na Mwanahalisi waende kwa Waziri “wakajadiliane” sheria walizokiuka wakafungiwa. Umetokwa povu juzi na jana bure,Vi Online TV tu ndivyo vimefunguliwa.
 
Kwa hiyo ndiyo unashangilia nini? mpuuzi mkubwa wewe bibi
 

Umemsakama as if wewe ndo unaongea na Rais. Lakini mwenye Common Sense anajua tu nia yako kutukana JPM nk. Mnakuwa watabiri wakati wenzenu lazima waulize kwanza mana kuna visheria. Akili ya Abbasi Ni kubwa sana kuliko wewe unayekurupuka. Subira mkuu. Geduld bring Rosen und In der Ruhe liegt die Kraft. Otherwise mind your own business. Ukitii sheria wala hutawahitaji hawa watu.
 

Sasa Nani amejivunjia heshima. Jipe adhabu Basi Kama muungwana. Acha kuandika ujinga wako at least miezi miwili. Tulia na kuwaza namna ya kumpa raha mumeo au mkeo. Ukirudi utakuwa fresh na kuacha vichuki vya kijinga. Huwezi kuwa na furaha Afu Ukawa unakurupuka tu bila kujua kuwa Wenzako wanaongea na kushauriana baada ya maagizo kujua itakuwaje baada ya maamuzi haya. Swala sio kutamka tu. Unataka Abbas ampinge Rais anayempa kula je wewe Mbowe na Lissu ulishawahi kuwapinga.
 
Huyu Abbas kilaza kabisa. Rais alisema vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe. Mfano aliotoa Rais kwa online TVs haifanyi magazeti, nk yawe excluded. Azinguliwe huyu. Hatufai!
Hata Mimi nilielewa hivyo
 
Huyu jamaa ana hasira sana juu ya haya maamuzi maana yeye ndio alikuwa kiranja katika kufungia vyombo vya habari, kukaidi kwake huku ni kama anapima kina cha maji, wacha tusubiri Rais atasemaje kwa kauli hii.
Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…