Subiri mpaka uone barua.Barua kutoka Ikulu iko wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mpaka uone barua.Barua kutoka Ikulu iko wapi ?
Barua ya ikulu aliyopewa Msigwa umeiona au ni porojo zako tu ?
Barua kutoka Ikulu iko wapi ?
Nyie ndo mlikuwa mnalilia Bando! Hivi Abbas naelimu yake anaweza kukaidi agizo la Rais? Watanzani tusiwe tunakurupuka kwenye kuongea tu.
Huyu jamaa hana ubongo kabisa, haamini alichosema Msigwa, Ila anataka uthibitisho wa barua ya msigwa.Najua umekuwa dissapointed lakini huo ndiyo ukweli wenyewe. Midhari Msigwa Msemaji wa Serikali kalitolea ufafanuzi tena leo, ndiyo basi tena keshamaliza.
Najua umekuwa dissapointed lakini huo ndiyo ukweli wenyewe. Midhari Msigwa Msemaji wa Serikali kalitolea ufafanuzi tena leo, ndiyo basi tena keshamaliza.
Hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Habari tulimpinga ndio awe huyu wa Habari maelezo ?Huyu jamaa hana ubongo kabisa, haamini alichosema Msigwa, Ila anataka uthibitisho wa barua ya msigwa.
Huyo hata ungempa nusu kazi; akili yake ndivyo ilivyo hivyo.Hivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?
Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Habari tulimpinga ndio awe huyu wa Habari maelezo ?
Mimi ni mtu huru sitegemei kigogoUlivyompinga halafu ikawaje? Akatengua kauli yake,Mkuu acha kujipa nguvu ambazo huna,wewe paaza sauti yako hapa,wakati wao wanatenda. Hujasikia BBC Dira ya Dunia jioni hii? Nenda basi kwa Kigogo unaemwini walau ukasome huko pengine utaelewa.
View attachment 1746089
Mimi ni mtu huru sitegemei kigogo
Anadharau snHuyu Jamaa ana wivu sana.
Kwa hiyo ndiyo unashangilia nini? mpuuzi mkubwa wewe bibiWewe si bingwa wa kuleta hapa reference za Kigogo. Anyway bado una la kusema? Umemsikia Bashungwa, waambie kina Balile,Tanzania Daima na Mwanahalisi waende kwa Waziri “wakajadiliane” sheria walizokiuka wakafungiwa. Umetokwa povu juzi na jana bure,Vi Online TV tu ndivyo vimefunguliwa.
'Comical' Abbas katika ubora wake!
Bila shaka kuna kundi maalum nyuma yake, yeye pekee hana ujasiri huo.
Lakini pia tusisahau ubovu wa agizo alilotoa Rais Samia.
Kuna sheria (hata kama ni sheria mbovu) iliyovifungia vyombo hivyo.
Je, agizo la rais liwe juu ya sheria hizo?
Nadhani Abbas na genge lake wanatumia mwanya huo, kudharau agizo la Samia.
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Hata Mimi nilielewa hivyoHuyu Abbas kilaza kabisa. Rais alisema vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe. Mfano aliotoa Rais kwa online TVs haifanyi magazeti, nk yawe excluded. Azinguliwe huyu. Hatufai!
Sana mkuuHuyu jamaa ana hasira sana juu ya haya maamuzi maana yeye ndio alikuwa kiranja katika kufungia vyombo vya habari, kukaidi kwake huku ni kama anapima kina cha maji, wacha tusubiri Rais atasemaje kwa kauli hii.