mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Leo Mama D naona umelala vizuri na mumeo...
Ni ngumu kuamini kuwa this time unakosoa maamuzi ya mwanaCCM mwenzako Abass...!!
That's absolutely very good mama..
Haya ni mabadiliko mazuri ya kifikra. Kongole..
Sijui unamaanisha nini hapo kwenye kulala vizuri na mume wangu na sioni mume anahusikaje kwenye hiipost
Pale mtu anapokosea Kukosoa ni kukosoa tuu haijalishi mtu yuko chama gani
Nyie msiokosoana ndio mmeishia kuua vyama vyenu..... wanaokosoana watandelea kushika dola miaka100
Protokali gani Rais ambaye ni mkuu wa nchi anatoa hitimisho la jambo halafu anaibuka msaidizi wake kumrekebisha hadharani. Uswahilini hii tunaiita kukosa adabu
Asante kwa kongole anyways