Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mjane.Waonye maana bavicha wamepora kazi ya MATAGAView attachment 1745379
Vyombo vya habari ni nini!!?Wengi mna mihemko, mama Samia hakuzungumzia magazeti. Dr.abbas yupo sahihi, rudia tena kusikiliza alichosema mama samia
Mbona na wewe hujambariki mkuu badala yake umemtwisha laana mpk kizazi chake?Jifunze kubariki ili nawe ubarikiwe. Usiwe mtu wa kuombea watu mabaya.
Naamini kabla mwaka huu haujaisha, COVID- 19 atakua ndani ya familia yako kabla ya kukutembelea wewe mwenyewe mapema mwaka ujao.
Kwahiyo Mh Rais anaropoka?!Huyo raisi wako anaropoka tu ndo maana kwenye speech yake labda zinakuwa nyingi sana,hayo ndo maelekezo Abbas kapewa,kama unamchukia Abbas hiyo shauri yako
Rejea comments za Huyo jamaa Y2z, amekua akisherekea hata kifo cha JPM! Sasa mim najiuliza mbona anapenda sana kuombea wengine vifo! Kwani yeye hatakufa. Mi nadhani ni suala la muda. Hata yeye atakufa. Ipo siku na saa yake. Ni suala la muda tuuu!Mbona na wewe hujambariki mkuu badala yake umemtwisha laana mpk kizazi chake?
Ilitakiwa uonyeshe mfano kwa kutekeleza lile ulilomshauri
Ana majukumu gani mawili? HAujui kama msemaji saivi ni msigwa? Dkt hassan abbas haendani na mfumo wa mama hasa kwa hapa ndani, anajiamini kupitiliza mpaka anakuwa na kiburi kufikia kukaidi au kupotosha kauli za mkuu wa nchi, kwani angefungulia vyombo vyote angepungukiwa nini.? @3angels messageHivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?
Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Rais mpya ana safari ndefu sana ya kuwaondoa hawa mamluki watiifu wote wa hayati. Apewe muda. Hata yeye mwenyewe bila shaka anafahamu fika baadhi ya wasaidizi wake alio warithi kutoka kwa mtangulizi wake, watamkwamisha!Mh Rais, Abbasi amekudharau mbele ya umma,umetoa agizo la kufunguliwa kwa vyombo vya Habari vilivyokuwa vimefungwa wakati wa utawala wa awamu ya Tano, lakini Abbasi anasema agizo alilonalo ni la kufunguliwa kwa Online TV pekee,huyu anakudharau kabisa kwa sababu agizo lako halikusema baadhi ya vyombo vya Habari visifunguliwe.
Abbasi ndo alikuwa leader wa kufungia vyombo vya Habari vilivyokuwa vinaikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Mh Rais, huwezi kutatua matatizo kwa kutumia watu wale wale walioleta matatizo.
Uhuru wa vyombo vya Habari ni muhimu sana kwa utawala bora, vyombo vya Habari ni sekta iliyoajiri watu wenye familia, sasa kufungia magazeti kisa yamekosoa ni kusababisha matatizo ya kiuchumi kwa watu.
Kama magazeti yanaandika uongo kwanini wasipelekwe mahakamani na sheria ichukue mkondo Badala ya kuwa na sheria ya kufungia Tu Badala ya kusikiliza pande zote?
Hao kina Abbasi watakuharibia Mama.
Huyu nimeshangaa sana Mama kutomtumbua yaani ni hovyio kupita maelezo .huyu ni mtu mwenye lugha chafu ni Magufuli tuu ndio zilikua kauli zake anazipenda .yaani alikua anaisemea Tanzania kama vili yuko kijiwe cha kahawa .huyu ni wa kutolewa harakaHakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?
Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
View attachment 1745371
Msigwa chini ya Abbas will never be free kutimiza wajibu wake chini ya Big Brother Abbas or go against Big Bro!. My honest opinion, kwangu mimi kuna tatizo la size ya viatu, Msigwa akiwa Ikulu nilinote gaps alizohitaji kusaidiwa, sasa kwa kuletwa kuwa Mkurugenzi wa Maelezo ni likiatu kubwa sana, hivyo Msigwa atahitaji very serious and powerful backups ambayo Dr. Abbas ata provides kama alivyoanza jana kwa kufanya kazi ambayo sio yake na kututafasiria kauli za rais akisema vyombo vya habari vilivyo fungiwa maana yake ni online TV na sio magazeti!. Ili kumtendea haki Msigwa as Mkurugenzi wa Maelezo, Dr. Abbas aondolewe pale, ahamishiwe popote au hata apewe ubalozi aende ubalozini na kumpa space Msigwa kuisuka Maelezo yake, kama Samia anavyo ifumua na kuisuka upya serikali ya Magufuli aliyo irithi. Uwepo wa Dr. Abbas as KM, japo ni msaada mkubwa kwa Msigwa kwa siku za mwanzo mwanzo za set up, lakini kuendelea kuwepo for long, will be a pain on the neck kwa Msigwa, it's like a kid, attached to an apron strings of it's mother. Msigwa will never be Msigwa himself, but Dr. Abbas proxy, or his protege!.Mh Rais, Abbasi amekudharau mbele ya umma,umetoa agizo la kufunguliwa kwa vyombo vya Habari vilivyokuwa vimefungwa wakati wa utawala wa awamu ya Tano, lakini Abbasi anasema agizo alilonalo ni la kufunguliwa kwa Online TV pekee,huyu anakudharau kabisa kwa sababu agizo lako halikusema baadhi ya vyombo vya Habari visifunguliwe.
Abbasi ndo alikuwa leader wa kufungia vyombo vya Habari vilivyokuwa vinaikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Mh Rais, huwezi kutatua matatizo kwa kutumia watu wale wale walioleta matatizo.
Uhuru wa vyombo vya Habari ni muhimu sana kwa utawala bora, vyombo vya Habari ni sekta iliyoajiri watu wenye familia, sasa kufungia magazeti kisa yamekosoa ni kusababisha matatizo ya kiuchumi kwa watu.
Kama magazeti yanaandika uongo kwanini wasipelekwe mahakamani na sheria ichukue mkondo Badala ya kuwa na sheria ya kufungia Tu Badala ya kusikiliza pande zote?
Hao kina Abbasi watakuharibia Mama.
100%naunga mkonoAbasi kwanza sio msemaji wa Serikali na wala sio Waziri wa Habari. Kiherehere sana huyu kiumbe. Mama fukuza huyu mtu.
Kweli kabisa mkuuMh Rais, Abbasi amekudharau mbele ya umma,umetoa agizo la kufunguliwa kwa vyombo vya Habari vilivyokuwa vimefungwa wakati wa utawala wa awamu ya Tano, lakini Abbasi anasema agizo alilonalo ni la kufunguliwa kwa Online TV pekee,huyu anakudharau kabisa kwa sababu agizo lako halikusema baadhi ya vyombo vya Habari visifunguliwe.
Abbasi ndo alikuwa leader wa kufungia vyombo vya Habari vilivyokuwa vinaikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Mh Rais, huwezi kutatua matatizo kwa kutumia watu wale wale walioleta matatizo.
Uhuru wa vyombo vya Habari ni muhimu sana kwa utawala bora, vyombo vya Habari ni sekta iliyoajiri watu wenye familia, sasa kufungia magazeti kisa yamekosoa ni kusababisha matatizo ya kiuchumi kwa watu.
Kama magazeti yanaandika uongo kwanini wasipelekwe mahakamani na sheria ichukue mkondo Badala ya kuwa na sheria ya kufungia Tu Badala ya kusikiliza pande zote?
Hao kina Abbasi watakuharibia Mama.
Hivi mkuu kwa protokali alietakiwa kujibu au kutoa maoni kuhusu agizo la rais ni Waziri husika au Katibu Mkuu wake?Msigwa chini ya Abbas will never be free kutimiza wajibu wake chini ya Big Brother Abbas or go against Big Bro!. My honest opinion, kwangu mimi kuna tatizo la size ya viatu, Msigwa akiwa Ikulu nilinote gaps alizohitaji kusaidiwa, sasa kwa kuletwa kuwa Mkurugenzi wa Maelezo ni likiatu kubwa sana, hivyo Msigwa atahitaji very serious and powerful backups ambayo Dr. Abbas ata provides kama alivyoanza jana kwa kufanya kazi ambayo sio yake na kututafasiria kauli za rais akisema vyombo vya habari vilivyo fungiwa maana yake ni online TV na sio magazeti!. Ili kumtendea haki Msigwa as Mkurugenzi wa Maelezo, Dr. Abbas aondolewe pale, ahamishiwe popote au hata apewe ubalozi aende ubalozini na kumpa space Msigwa kuisuka Maelezo yake, kama Samia anavyo ifumua na kuisuka upya serikali ya Magufuli aliyo irithi. Uwepo wa Dr. Abbas as KM, japo ni msaada mkubwa kwa Msigwa kwa siku za mwanzo mwanzo za set up, lakini kuendelea kuwepo for long, will be a pain on the neck kwa Msigwa, it's like a kid, attached to an apron strings of it's mother. Msigwa will never be Msigwa himself, but Dr. Abbas proxy, or his protege!.
P