Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Nishasema huyu alitakiwa azikwe na Meko.
Sijui kwa nini mama anaikumbatia mijitu inayomdharau
 
Tunaona mitandaoni wale wafaidika wa awamu dhuluma iliyopita.
Hawataki kukubali kuwa Mama Samia ndio Commander in Chief.
Wengi wana pinga wazi wazi mabadiliko chanya ambayo mheshimiwa Rais anayafanya.

Hapa pasiwe na muhali.
Tujue kuwa Mheshimiwa Mama Samia anaungwa mkono na wengi na mabadiliko anayofanya ni muhimu kwa uchumi wetu.
Wengi wanaopinga ni wale walifaidika kuwatisha wananchi na kuwaibia wafanyabiashara.

Mama Samia inabidi awapige chini before its too late.
Wengine kama Abbas aliyekuwa msemaji wa Serikali, wanadiriki kupinga matamko ya Rais na kueleza wanayoyayafahamu wao.

Mh Rais piga chini hao Kabla hawajafikia critical mass.
Hao wengi upo nao huko nyumban kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amkanye au amuondoe kabisa ili kuleta fundisho??? Huyu masalia ya fedhuli magufuli ameshazoea kuishi kwa ufedhuli na ameonesha wazi kumdharau Mama. Dawa yake ni kutengua uteuzi wake tu!! Amezingua na Mama amzingue kweli. Full stop
mama Samia kwa jicho lako legevu naomba umkanye huyu kijana wako. Anahisi bado yupo katika enzi zile za kuviminya vyombo vya habari.
 
Huyo raisi wako anaropoka tu ndo maana kwenye speech yake labda zinakuwa nyingi sana,hayo ndo maelekezo Abbas kapewa,kama unamchukia Abbas hiyo shauri yako
 
Ngoja tuone.

PhD inaposhindwa kutafsiri maana ya vyombo vya habari.

PhD inasema gazeti siyo chombo cha habari.

PhD inambishia Rais ambaye ni taasisi.

PhD inachanganya itikadi na maswala ya kiserikali.

Ngoja tuone.

Ukinizingua Nakuzingua!
Ukiendelea hivi utakula likes zangu nyingi sana
 
Hivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?

Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Yeye ana nafasi Moja Tu Kwa sasa
 
Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .
Kwenda kinyume na agizo la Rais ni “uhaini”. Huyu akamatwe na kutupwa ndani ili iwe demo kwa wale wote wenye malengo ya kumu-undermine Mama

Abas na kundi lao walikuwa wanamdharau sana na kumuoverlook Mama enzi za utawala wa Jiwe. Sasa hivi aibu wanaona wao
 
Hivi ni kiburi cha kukataa au akili ndogo hajamuelewa Rais?

Kuna nafasi moja lazima ataiachia, zaidi hiyo ya msemaji wa serikali, labda majukumu mawili yamemlemea ndio sababu akili haichaji vizuri.
Yeye ana nafasi Moja Tu Kwa sasa
 
Kama wanamsumbua Mama Samia awafukuze Mawaziri wote, alivunje Baraza la Mawaziri, avunje na Bunge aitishe Uchaguzi mpya ndani ya Mwezi mmoja na nusu.

Halafu atangaze kuhamia Chadema ili betrii za Moyo za Mataga wote zipige shoti kwa mpigo.

Mama aingie kwenye Vitabu vya historia.
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Lengo la mama ni kuondoa maneno kwamba serikali inaminya habari, sasa kufungulia hichi ukaacha kile ni ujinga tu aidha kutokumfahamu rais au ndio ule ubabe aliosema rais kuonyesha power kwamba wewe ndio mwenye mamlaka.,

Huyu jamaa hakubaliki, mana ilikuwa kabla hajajibu utumbo angerudi kwa rais kumuuliza tn vipi na magazeti nayo? Ni wazi kwamba mwendazake alitengeneza viongozi “hardhaded”
 
Abas ni mmoja wa Watumishi wa hovyo kuwahi kufanya kazi serikalini.

Tunaomba MAMA atuondolee huyo mtu.

Watanzania kwa kauli moja HATUMTAKI!
 
Kitendo alichofanya Dr. Abasi hakikubaliki kabisa. Tunaomba atende HAKI, vilio vya wananchi havitaenda bure
 
Huyu jamaa alibebwa sana na hayati Magufuli.

Ni heri ateuliwe Haji Manara kuwa Katibu mkuu wa hiyo wizara!
Mkuu wewe huitaki
Abbas amevuka kiwango cha ujinga na upumbavu ina maana alikuwa haja note alichosema Mh.Rais.
Jamaa limehama na kiburi cha Meko anafikiri bado ni msemaji mkuu wa serikali.
Sasa kapewa Gervas inamuuma sana.
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Abbas must Go
Mh.Samia Abbas awe wa pili kutumbuliwa baada ya yule wa TPA.
 
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Kwenye hili la who is who kati vigogo hawa wa media, as far as media is concerned, Mkurugenzi ndio kila kitu, lakini kwa vile KM ndie alikuwa Mkurugenzi kabla, na Msigwa alikuwa chini yake, sasa Msigwa ndio ameteuliwa Msemaji Mkuu, hivyo Abbas kupunguziwa madaraka, ya usemaji Mkuu, then Msigwa chini ya Abbas will never be free kutimiza wajibu wake chini ya Big Brother Abbas or go against Big Bro!. My honest opinion, kwangu mimi kuna tatizo la size ya viatu, Msigwa akiwa Ikulu nilinote gaps alizohitaji kusaidiwa, sasa kwa kuletwa kuwa Mkurugenzi wa Maelezo ni likiatu kubwa sana, hivyo Msigwa atahitaji very serious and powerful backups ambayo Dr. Abbas ata provides kama alivyoanza jana kwa kufanya kazi ambayo sio yake na kututafasiria kauli za rais akisema vyombo vya habari vilivyo fungiwa maana yake ni online TV na sio magazeti!. Ili kumtendea haki Msigwa as Mkurugenzi wa Maelezo, Dr. Abbas aondolewe pale, ahamishiwe popote au hata apewe ubalozi aende ubalozini na kumpa space Msigwa kuisuka Maelezo yake, kama Samia anavyo ifumua na kuisuka upya serikali ya Magufuli aliyo irithi. Uwepo wa Dr. Abbas as KM, japo ni msaada mkubwa kwa Msigwa kwa siku za mwanzo mwanzo za set up, lakini kuendelea kuwepo for long, will be a pain on the neck kwa Msigwa, it's like a kid, attached to an apron strings of it's mother. Msigwa will never be Msigwa himself, but Dr. Abbas proxy, or his protege!.
P
 
Back
Top Bottom