Kwenye hili la who is who kati vigogo hawa wa media, as far as media is concerned, Mkurugenzi ndio kila kitu, lakini kwa vile KM ndie alikuwa Mkurugenzi kabla, na Msigwa alikuwa chini yake, sasa Msigwa ndio ameteuliwa Msemaji Mkuu, hivyo Abbas kupunguziwa madaraka, ya usemaji Mkuu, then Msigwa chini ya Abbas will never be free kutimiza wajibu wake chini ya Big Brother Abbas or go against Big Bro!. My honest opinion, kwangu mimi kuna tatizo la size ya viatu, Msigwa akiwa Ikulu nilinote gaps alizohitaji kusaidiwa, sasa kwa kuletwa kuwa Mkurugenzi wa Maelezo ni likiatu kubwa sana, hivyo Msigwa atahitaji very serious and powerful backups ambayo Dr. Abbas ata provides kama alivyoanza jana kwa kufanya kazi ambayo sio yake na kututafasiria kauli za rais akisema vyombo vya habari vilivyo fungiwa maana yake ni online TV na sio magazeti!. Ili kumtendea haki Msigwa as Mkurugenzi wa Maelezo, Dr. Abbas aondolewe pale, ahamishiwe popote au hata apewe ubalozi aende ubalozini na kumpa space Msigwa kuisuka Maelezo yake, kama Samia anavyo ifumua na kuisuka upya serikali ya Magufuli aliyo irithi. Uwepo wa Dr. Abbas as KM, japo ni msaada mkubwa kwa Msigwa kwa siku za mwanzo mwanzo za set up, lakini kuendelea kuwepo for long, will be a pain on the neck kwa Msigwa, it's like a kid, attached to an apron strings of it's mother. Msigwa will never be Msigwa himself, but Dr. Abbas proxy, or his protege!.
P