Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Huyu bwana anarudisha nyuma jitihada za mama za kujaribu kurudisha upendo kati ya watanzania pamoja na kuturudishia uhuru wetu wa kukosoa na kujieleza. Atolewe hapo haraka sana. Kama ana umuhimu wa kuwa katika timu ampe wizara nyingine
 
Hii issue imeshakuwa complex, sioni sababu ya kuwalaumu subordinates kwa kutangaza maamuzi ya bosi wao, mwanzo tulidhani wao ndio wamekosea, ila kwa hii clarification iliyotoka leo maana yake huyo jamaa jana hakukosea, sisi ndio tumuombe radhi, he was correct, habati ya kusema wamemshawishi Rais nao ni ujinga tu, kama Rais anashawishika maana yake hafai kukaa ikulu yetu kama hana msimamo.
 
unamuamini Msigwa bila barua ya Ikulu ?
 
Hakusema hivyo, alisema viji tv vya online
Ila jibu umelipata
Sidhani Kama ataelewa ...ametanguliza ushabiki...Rais alikuwa clear alikuwa clear..vijiTv vya mkononi vilivyofungiwa na mamlaka..Sasa watu wanaleta ushabiki
 
Jinga sn hilo jamaa...... Bado limelewa madaraka
 
Sidhani Kama ataelewa ...ametanguliza ushabiki...Rais alikuwa clear alikuwa clear..vijiTv vya mkononi vilivyofungiwa na mamlaka..Sasa watu wanaleta ushabiki
Mtaumbuka sasa hivi
 
unamuamini Msigwa bila barua ya Ikulu ?

Subiri uone huo utekelezaji,hivi unadhani kuanzia jana mpaka leo hajajiridhisha tu kuwa Rais alimaanisha nini? Haya Abbas kasema jana,mmemtolea povu,leo Msigwa karudia kitu kile kile bado huamini tu.
 
Nyie ndo mlikuwa mnalilia Bando! Hivi Abbas naelimu yake anaweza kukaidi agizo la Rais? Watanzani tusiwe tunakurupuka kwenye kuongea tu.
 
Dada naona leo utakuwa umepata majibu sahihi kuwa Dr. Abbas alikuwa sahihi!! Pole kwa stress!
 

Na ndiyo keshamaliza hivyo,tatizo watu wanapenda kuambiwa kile wanachopenda kusikia basi,ukiwaambia kile hawakipendi utapewa kejeli zote. Hivi wanadhani kuanzia jana Abbas na leo Msigwa,wote hawajajiridhisha kwa Boss wao kuwa alimaanisha nini? So far kwa Msigwa kulitolea ufafanuzi rasmi leo ndiyo kamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…