Professor Assad anakidhi hio nafasi Dr.kikwete naomba uangalie hiliAchaguliwe hata Msukuma kuwa Waziri Wa Fedha, ila sio huyo Mwigulu Nchemba.
Nakuunga mkono kwa asilimia 800%, Rais Samia ampe Ubunge wa kuteuliwa Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha au ampe ugavana BOT.Professor Assad anakidhi hio nafasi Dr.kikwete naomba uangalie hili
Kumteua Professor Assad kuwa waziri ni kuvunja katiba mkuu.Professor Assad anakidhi hio nafasi Dr.kikwete naomba uangalie hili
CAG hawezi kuwa reappointed kurudi kwenye office ya umma akishastaafu.Nakuunga mkono kwa asilimia 800%, Rais Samia ampe Ubunge wa kuteuliwa Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha au ampe ugavana BOT.
Katiba ipi mkuu si ndio hii tuyotaka ibadlishwe?Kumteua Professor Assad kuwa waziri ni kuvunja katiba mkuu.
Muwe mnajisomea somea katiba hata kidogo
Kwani Assad alistaafu?CAG hawezi kuwa reappointed kurudi kwenye office ya umma akishastaafu.
Sikutegemea hili kutoka kwako.
Litegemee tu mkuu elimu na kujielimisha ni mtihani sana nchi hiiCAG hawezi kuwa reappointed kurudi kwenye office ya umma akishastaafu.
Sikutegemea hili kutoka kwako.
hiki kibabu mnataka kifie ofisini? ni kweli yuko vizuri ila kazeeka, wapo vijana wanaweza fanyakazi nzuriNakuunga mkono kwa asilimia 800%, Rais Samia ampe Ubunge wa kuteuliwa Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha au ampe ugavana BOT.
CAG hawezi kuw appointed tena kwenye office ya umma mkuuKatiba ipi mkuu si ndio hii tuyotaka ibadlishwe?
Akishakuwa CAG hata kwa siku moja hawezi tena kuwa appointed kwenye office ya umma.Kwani Assad alistaafu?
Si mpaka ibadilishwe sasa.Katiba ipi mkuu si ndio hii tuyotaka ibadlishwe?
Watu wanajadili siasa wakati hata vitu Basic tu hawavijuiLitegemee tu mkuu elimu na kujielimisha ni mtihani sana nchi hii
Endeleeni tu kusumbua akili, lkn nawaambieni tatizo la nchi hii sio mtu, ni chama cha kijani. Najua wengi mtachelewa kuelewa ila ukweli ndo huoHiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango.
Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni "Man of absolute integrity" eti kusema alikuwa ana kusanya kodi kinguvu jamani tuache masihara hawa wabongo bila kuwakomalia kodi hupati, situnajuana.
Qatar usipolipa kodi wanakata kichwa ndio maana wanapiga hatua kubwa na hawana mafuta kama Saud Arabia.
Sheria inagoma.Nakuunga mkono kwa asilimia 800%, Rais Samia ampe Ubunge wa kuteuliwa Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha au ampe ugavana BOT.
Ni kweli mkuu ila ile kichwa naielewaAkishakuwa CAG hata kwa siku moja hawezi tena kuwa appointed kwenye office ya umma.